Steve Njimaita
New Member
- May 27, 2020
- 4
- 2
Ufisadi wa ngozi mweusiNimekuwa nikikutana na kadhaa moja pale ninapokwenda kukunua bidhaa dukani na kudai risiti ya EFD huwa naambiwa, Ukitaka risiti ya EFD bidhaa hiyo bei yake inapanda otherwise tukuandikie tu au uende bila risiti.
Swali langu ni je, na huko kwenu ipo au ni huku tu, na vipi kuhusu hilo suala limekaaje Kitaalamu, kwamba EFD inahusikaje kuongeza bei ya bidhaa, na TRA au watu wanaohusika na masoko wanajua kuhusu hilo .?
Kwani wewe upo wapi mkuu?Swali langu ni je, na huko kwenu ipo au ni huku tu
Akikupa risiti ya efd inabidi akutoze Kodi(V.A.T) ili akawape TRA Kodi Yako hiyoInapandaje bei kwamba atakuuzia kwa bei ya kukulangua?
Ipi wakati hata tin namba HanaDai risiti EFD la sivyo itakula kwako kwenye kodi ya income tax, maana hiyo expense haitatambulika na mamlaka, anyway sijui kwa TRA ila KRA wako makini sana.
Wanajua hilo basi.?anataka punguzo halafu anataka risitiAkikupa risiti ya efd inabidi akutoze Kodi(V.A.T) ili akawape TRA Kodi Yako hiyo
Yeye anakuwa wakala kati Yako mteja na TRA.
Ndo shidaWaTZ tunapenda vitonga sana,sasa mfanyabiashara naye akukupa kwa kitonga jiongeze,siyo mtu baada ya kutoa hela na kupewa bidhaa unajidai mjuaji babulai
Kuna bidhaa zingine hazina VAT na zingine kweli zina VAT. Wanachofanya ni kukuzuga ili ukatae risiti . Ila kumbuka kama wewe ni mfanyabishara itakuwa imekula kwako ukikataa risiti maana kwenye hesabu zako utakosa ushahidi wa matumizi yako ya biashara. Kama ni VAT na wewe siunakuja uza na VAT na mwisho wa siku utarejeshewa baada ya kuangalia manunuzi na mauzo? Dai risiti ndugu yangu kuepuka tra kukudaka na bidhaa isiyo na risiti au ukiuziwa famba utaanza wapi kudai haki yako?Wafanya biashara wengi wanatumia hio mbimu kukwepa tu kodi mi mwenyewe nimeshakutana na iyo issue kwenye viduka uchwara hapo issue mbona ndogo si anatakiwa kukutajia bei ya bidhaa ambayo VAT inclusive tu kwani mteja kasema hana iyo pesa ya kulipia bidhaa?maduka makubwa hayana huo ujinga