Nikifa mke wangu asiolewe

Nikifa mke wangu asiolewe

Utajua wewe

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2024
Posts
928
Reaction score
1,836
Salamu WanaJF!

Kakitaka kitu kitaniuma humu duniani nikusikia mke wangu kaolewa

Anatembea na nusu wa moyo wangu, kusema ukweli siwezi kuvumilia kuchukuliwa na mwanaume mwingine na kuanza kupigwa show.

Hivyo basi nikifa asiguswe
Everything remind of her, anytime anywhere
 
Back
Top Bottom