Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Kufa uone
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utajua weweJiaminishe mimi masikini sinilikuja kuomba maziwa kwenu
Akili zikirudi utasemaYaan kwenye sentensi zako naona kabisa kuna ushoga ndani yako... Kweli we una mke mzee?! Au we nae ni mke wa mtu?! 🤔🤔🤔
Kwa mwanaume kamili kutumia maneno kama "tyu" na "buana" kuna tatizo mahali
😁jaribu tukuone sina haja ya polisiUtakufa aisee kwa Sababu ya Kugundua wanamla hata kabla ujafa
Embu jenga huko mzeeMbona hata jana nimemfaidi mkeo.
Muulize vizuri atakwambia
Imenikumbusha Mtume Muham mad!;
👇👇
Kwa wake wa wenzie Si baba wa yeyote Hadi amemchukulia Mwanae Zaid mkewe😳
👇🏼👇🏼
مَّا كَانَ مُحَمَّدٌ أَبَا أَحَدٍ مِّن رِّجَالِكُمْ وَلَـٰكِن رَّسُولَ اللَّهِ وَخَاتَمَ النَّبِيِّينَ ۗ وَكَانَ اللَّهُ بِكُلِّ شَيْءٍ عَلِيمًا
[ AL-AH'ZAB - 40 ]
Muhammad si baba wa yeyote katika wanaume wenu, bali ni Mtume wa Mwenyezi Mungu na Mwisho wa Manabii, na Mwenyezi Mungu ni Mjuzi wa kila kitu.
Kwa wake zake ni mama zenu msiwaowe Akifa!
👇🏼👇🏼
يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا لَا تَدْخُلُوا بُيُوتَ النَّبِيِّ إِلَّا أَن يُؤْذَنَ لَكُمْ إِلَىٰ طَعَامٍ غَيْرَ نَاظِرِينَ إِنَاهُ وَلَـٰكِنْ إِذَا دُعِيتُمْ فَادْخُلُوا فَإِذَا طَعِمْتُمْ فَانتَشِرُوا وَلَا مُسْتَأْنِسِينَ لِحَدِيثٍ ۚ إِنَّ ذَٰلِكُمْ كَانَ يُؤْذِي النَّبِيَّ فَيَسْتَحْيِي مِنكُمْ ۖ وَاللَّهُ لَا يَسْتَحْيِي مِنَ الْحَقِّ ۚ وَإِذَا سَأَلْتُمُوهُنَّ مَتَاعًا فَاسْأَلُوهُنَّ مِن وَرَاءِ حِجَابٍ ۚ ذَٰلِكُمْ أَطْهَرُ لِقُلُوبِكُمْ وَقُلُوبِهِنَّ ۚ وَمَا كَانَ لَكُمْ أَن تُؤْذُوا رَسُولَ اللَّهِ وَلَا أَن تَنكِحُوا أَزْوَاجَهُ مِن بَعْدِهِ أَبَدًا ۚ إِنَّ ذَٰلِكُمْ كَانَ عِندَ اللَّهِ عَظِيمًا
[ AL-AH'ZAB - 53 ]
Enyi mlio amini! Msiingie nyumba za Nabii ila mpewe ruhusa kwenda kula, sio kungojea kiwive. Lakini mtakapo
Wadanganya watu kitachowakutaSaivi yenyewe inaparuliwa
Imenikumbusha Mtume Muham mad!;
👇👇
Kwa wake wa wenzie Si baba wa yeyote Hadi amemchukulia Mwanae Zaid mkewe😳
👇🏼👇🏼
مَّا كَانَ مُحَمَّدٌ أَبَا أَحَدٍ مِّن رِّجَالِكُمْ وَلَـٰكِن رَّسُولَ اللَّهِ وَخَاتَمَ النَّبِيِّينَ ۗ وَكَانَ اللَّهُ بِكُلِّ شَيْءٍ عَلِيمًا
[ AL-AH'ZAB - 40 ]
Muhammad si baba wa yeyote katika wanaume wenu, bali ni Mtume wa Mwenyezi Mungu na Mwisho wa Manabii, na Mwenyezi Mungu ni Mjuzi wa kila kitu.
Kwa wake zake ni mama zenu msiwaowe Akifa!
👇🏼👇🏼
يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا لَا تَدْخُلُوا بُيُوتَ النَّبِيِّ إِلَّا أَن يُؤْذَنَ لَكُمْ إِلَىٰ طَعَامٍ غَيْرَ نَاظِرِينَ إِنَاهُ وَلَـٰكِنْ إِذَا دُعِيتُمْ فَادْخُلُوا فَإِذَا طَعِمْتُمْ فَانتَشِرُوا وَلَا مُسْتَأْنِسِينَ لِحَدِيثٍ ۚ إِنَّ ذَٰلِكُمْ كَانَ يُؤْذِي النَّبِيَّ فَيَسْتَحْيِي مِنكُمْ ۖ وَاللَّهُ لَا يَسْتَحْيِي مِنَ الْحَقِّ ۚ وَإِذَا سَأَلْتُمُوهُنَّ مَتَاعًا فَاسْأَلُوهُنَّ مِن وَرَاءِ حِجَابٍ ۚ ذَٰلِكُمْ أَطْهَرُ لِقُلُوبِكُمْ وَقُلُوبِهِنَّ ۚ وَمَا كَانَ لَكُمْ أَن تُؤْذُوا رَسُولَ اللَّهِ وَلَا أَن تَنكِحُوا أَزْوَاجَهُ مِن بَعْدِهِ أَبَدًا ۚ إِنَّ ذَٰلِكُمْ كَانَ عِندَ اللَّهِ عَظِيمًا
[ AL-AH'ZAB - 53 ]
Enyi mlio amini! Msiingie nyumba za Nabii ila mpewe ruhusa kwenda kula, sio kungojea kiwive. Lakini mtakapo itwa basi ingieni, na mkisha kula tawanyikeni, wala msiweke mazungumzo. Hakika hayo yanamuudhi Nabii naye anakustahini, lakini Mwenyezi Mungu hastahi kwa jambo la haki. Na mnapo wauliza wakeze haja waulizeni nyuma ya mapazia. Hivyo ndio usafi zaidi kwa nyoyo zenu na nyoyo zao. Wala haikufalieni kumuudhi Mtume wa Mwenyezi Mungu, wala kuwaoa wake zake baada yake kabisa. Hakika jambo hilo ni kubwa mbele ya Mwenyezi Mungu.
Mshnzi kabisa wake za mtu wao hawana haja?Wake wa Mtume Muhammad peke yake ndio hawakuolewa baada ya Mtume kufariki ila wewe kalunguyeye ukifa jua mke wako ataolewabtu na watu wengine kwasababu maisha bado yanaendelea na atahitaji mwanaume wa kumtoa haja zake za kimwili
Kiufupi ni kwamba ukifa, mke wako ni Mali ya walio haiUkiwa unaongea hivyo kama nani yaani?
Mzee hii dunia utaona chungu mpaka utajichukia nitafanya kila niwezalo
Pouwa jaribuKiufupi ni kwamba ukifa, mke wako ni Mali ya walio hai
Walishabashiriwa pepo hapa duniani na kuambiwa kama watahitaji kuwa wake wa Mtume huko peponi basi wasiolewe na mtu mwingine yeyote baada ya Mtume kufariki.Mshnzi kabisa wake za mtu wao hawana haja?
Jichanganye mamaeeh
Naheshimu imani ya mtuWalishabashiriwa pepo hapa duniani na kuambiwa kama watahitaji kuwa wake wa Mtume huko peponi basi wasiolewe na mtu mwingine yeyote baada ya Mtume kufariki.
Pia wake wa Mtume ni Mama wa Waumini wote. So hawakupaswa kuolewa tena.