Nikifa mke wangu asiolewe

Nikifa mke wangu asiolewe

Yaan kwenye sentensi zako naona kabisa kuna ushoga ndani yako... Kweli we una mke mzee?! Au we nae ni mke wa mtu?! 🤔🤔🤔

Kwa mwanaume kamili kutumia maneno kama "tyu" na "buana" kuna tatizo mahali
Akili zikirudi utasema
Uanaume unaangalia kwenye keyboard
Kweli ujinga ni kipaji chako
 
Imenikumbusha Mtume Muham mad!;
👇👇
Kwa wake wa wenzie Si baba wa yeyote Hadi amemchukulia Mwanae Zaid mkewe😳
👇🏼👇🏼
مَّا كَانَ مُحَمَّدٌ أَبَا أَحَدٍ مِّن رِّجَالِكُمْ وَلَـٰكِن رَّسُولَ اللَّهِ وَخَاتَمَ النَّبِيِّينَ ۗ وَكَانَ اللَّهُ بِكُلِّ شَيْءٍ عَلِيمًا

[ AL-AH'ZAB - 40 ]
Muhammad si baba wa yeyote katika wanaume wenu, bali ni Mtume wa Mwenyezi Mungu na Mwisho wa Manabii, na Mwenyezi Mungu ni Mjuzi wa kila kitu.

Kwa wake zake ni mama zenu msiwaowe Akifa!
👇🏼👇🏼
يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا لَا تَدْخُلُوا بُيُوتَ النَّبِيِّ إِلَّا أَن يُؤْذَنَ لَكُمْ إِلَىٰ طَعَامٍ غَيْرَ نَاظِرِينَ إِنَاهُ وَلَـٰكِنْ إِذَا دُعِيتُمْ فَادْخُلُوا فَإِذَا طَعِمْتُمْ فَانتَشِرُوا وَلَا مُسْتَأْنِسِينَ لِحَدِيثٍ ۚ إِنَّ ذَٰلِكُمْ كَانَ يُؤْذِي النَّبِيَّ فَيَسْتَحْيِي مِنكُمْ ۖ وَاللَّهُ لَا يَسْتَحْيِي مِنَ الْحَقِّ ۚ وَإِذَا سَأَلْتُمُوهُنَّ مَتَاعًا فَاسْأَلُوهُنَّ مِن وَرَاءِ حِجَابٍ ۚ ذَٰلِكُمْ أَطْهَرُ لِقُلُوبِكُمْ وَقُلُوبِهِنَّ ۚ وَمَا كَانَ لَكُمْ أَن تُؤْذُوا رَسُولَ اللَّهِ وَلَا أَن تَنكِحُوا أَزْوَاجَهُ مِن بَعْدِهِ أَبَدًا ۚ إِنَّ ذَٰلِكُمْ كَانَ عِندَ اللَّهِ عَظِيمًا

[ AL-AH'ZAB - 53 ]
Enyi mlio amini! Msiingie nyumba za Nabii ila mpewe ruhusa kwenda kula, sio kungojea kiwive. Lakini mtakapo itwa basi ingieni, na mkisha kula tawanyikeni, wala msiweke mazungumzo. Hakika hayo yanamuudhi Nabii naye anakustahini, lakini Mwenyezi Mungu hastahi kwa jambo la haki. Na mnapo wauliza wakeze haja waulizeni nyuma ya mapazia. Hivyo ndio usafi zaidi kwa nyoyo zenu na nyoyo zao. Wala haikufalieni kumuudhi Mtume wa Mwenyezi Mungu, wala kuwaoa wake zake baada yake kabisa. Hakika jambo hilo ni kubwa mbele ya Mwenyezi Mungu.
 
Enyi mlio amini! Msiingie nyumba za Nabii ila mpewe ruhusa kwenda kula, sio kungojea kiwive. Lakini mtakapo

Saivi yenyewe inaparuliwa
Wadanganya watu kitachowakuta
 
Hivi unawashwaga nini na dini yetu? Hebu kapambane na makanisa yenu yanayofungisha ndoa za mashoga huko ulaya. Ya kwenu yamewashinda ya waislamu utayawezea wapi. Kama hujui kitu kuhusu Uislamu uliza sio kukashifu.. Pambafu kabisa
 
Wake wa Mtume Muhammad peke yake ndio hawakuolewa baada ya Mtume kufariki ila wewe kalunguyeye ukifa jua mke wako ataolewabtu na watu wengine kwasababu maisha bado yanaendelea na atahitaji mwanaume wa kumtoa haja zake za kimwili
 
Mshnzi kabisa wake za mtu wao hawana haja?
Jichanganye mamaeeh
 
Walishabashiriwa pepo hapa duniani na kuambiwa kama watahitaji kuwa wake wa Mtume huko peponi basi wasiolewe na mtu mwingine yeyote baada ya Mtume kufariki.

Pia wake wa Mtume ni Mama wa Waumini wote. So hawakupaswa kuolewa tena.
 
Naheshimu imani ya mtu
Ila na mimi mke wangu asiguswe !!
 
Back
Top Bottom