Nikifa

Nikifa

Lady N

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2009
Posts
1,914
Reaction score
132
Mume: Mke wangu nikifa utaolewa tena?
Mke: Ndio, itategemea.
Mume: Utampa gari yangu aendeshe.
Mke: Mh! Nadhani.
Mume: Utamuacha akae kwenye kiti changu sebuleni?
Mke: Labda.
Mume: Utamuacha avae suti yangu nzuri?
Mke: No, ye ni mfupi.
 
Hapo kwenye suti hapooo!!! Alijuaje kama ni mfupi? Yaonekana alishamjaribisha! Ukiona hivyo ujue jamaa alishakula bisi ya mkeo!!
 
Nahisi hilo jibu la mwisho lilivunja ndoa au kuzusha vagi !
 
hapo hapo huyo bwana akaaga dunia.
 
na wewe bibi hauko mbali sana na mumeo marehemu mtarajiwa
 
Mume: Mke wangu nikifa utaolewa tena?
Mke: Ndio, itategemea.
Mume: Utampa gari yangu aendeshe.
Mke: Mh! Nadhani.
Mume: Utamuacha akae kwenye kiti changu sebuleni?
Mke: Labda.
Mume: Utamuacha avae suti yangu nzuri?
Mke: No, ye ni mfupi.
Hii joke nilivyoiona ni fupi nikidharauu, kumbe.
Bweheeeeeee!
 
........baada ya hapo sijui kilitokea nini!
 
jmaa ailimpiga mke na mke alimpiga mume wote wakaishiwa nguvu za kupigana badala yake nguvu ya ku-do akawajia ,kwasababu ugovi ulifanyika sebuleni watoto waliwakuta waki do kesho yake asubuhi ugovi mwangine ukazuka kwani mke alianza kumulaumu mume kuwa yeye ndio chanzo cha ugovi,raha ya du-doo na pia aibu kwa watoto.
.
 
Mume: Mke wangu nikifa utaolewa tena?
Mke: Ndio, itategemea.
Mume: Utampa gari yangu aendeshe.
Mke: Mh! Nadhani.
Mume: Utamuacha akae kwenye kiti changu sebuleni?
Mke: Labda.
Mume: Utamuacha avae suti yangu nzuri?
Mke: No, ye ni mfupi.

Duh.... kama ni mie hapo nivarangati bin kimbembe
 
Back
Top Bottom