Magical power
JF-Expert Member
- Sep 27, 2022
- 2,158
- 5,626
NIKIFANYA MAPENZI NAHUYU MCHEPUKO NAPATA SANA WATEJA SIKUHIYO.
Habar Mr magical power! Mimi nimwanauume mwenye umri wamiaka 37 naishi tanga.Naomba unifikishie kwa members wako wanishauri jambo fulani linaloniumiza kichwa.Mimi nimfanyabiashara wa samaki hapa soko la samaki tanga ninamke nawatoto wawili.Mwaka huu mwezi wa Saba nilianzisha mahusiano na mwanamke mmoja wahapa hapa tanga.Mimi na mke wangu hatuna shida ila unajua tena wanaume tulivyo nikajikuta tu nishaanzisha mahusiano.
Sasa kinachonishangaza nikwamba tangu nimeanza kulala na huyu mwanamke kwakweli naona mabadiliko makubwa sana kwenye swala la biashara yangu.Nikilala naye tu kesho yake nikiingia sokon nauza sana nakuwa wakwanza kumaliza samaki wangu.Mara ya kwanza nilihisi nikawaida lakini nisipolala naye naona kabisa ugumu kwenye biashara ila nikisema tu leo nikalale naye basi kesho biashara niasubuhi tu nishamaliza.
Kwakweli natamani kuvunja haya mahusiano mke wangu asije kujua lakini nawaza kwamba naanzaje natayari naona kunamafanikio?Nilimuuliza mzee mmoja akasema huyo mwanamke nyota yako na yake zinaendana na ukimuona utafanikiwa sana.Sasa najiuliza nitamuoaje wakati tayari ninamke nauwezo wakuoa mke wapili sina??Je! kunamtu amewahi kukutana na hali kama hiie?? naona ajabu sana kwakweli naogopa nawaza isikute nijini labda.