Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Madogo yana wenyewe kwakweliiiiHeeee, makubwa haya.
Naombeni ushauri wa kitaalamu nina shida moja kuwa kila nikifanya mapenzi naharibu ratiba yangu ya kwenda haja kubwa tatizo ambalo lina nipa shida sana kwani ratiba yangu ya kwenda haja kubwa ni saa moja asubuhi na nikifanya mapenz naenda haja kuanzia saa saba. Tatizo ni kuwa saa saba natakiwa kulipia huduma ya choo nikiwa eneo langu la kazi
Mimi sijaelewa huyu mwanaume au mwamke
Mi ni mwanaume na ninakila sifa ya mwanaume naomba msaada wa kitahara kwa great thinkers kama huna msaada okoa muda na pesa kwa kuacha kuchangia na bado utabarikiwa
Unafanya mapenz kwa njia gan?
Naombeni ushauri wa kitaalamu nina shida moja kuwa kila nikifanya mapenzi naharibu ratiba yangu ya kwenda haja kubwa tatizo ambalo lina nipa shida sana kwani ratiba yangu ya kwenda haja kubwa ni saa moja asubuhi na nikifanya mapenz naenda haja kuanzia saa saba. Tatizo ni kuwa saa saba natakiwa kulipia huduma ya choo nikiwa eneo langu la kazi
Mbona amesema yeye ni mwanaume!!Mimi sijaelewa huyu mwanaume au mwamke