Nikifanya mapenzi naharibu ratiba ya kujisaidia

Ahahahahahahahahahahahahahah...we jamaa ..du..!

Hakikisha unakunywa maji ya kutosha mkuu.
 
Mi ni mwanaume tafadhali na nimeleta hapa kwakuwa ni sehemu ya great thinkers
 
funguka mkuu,maswali yaliyopo mi mengi kuliko jibu unalohitaji.
 

badilisha ratiba yako ya kufanya matusi
 
Mi ni mwanaume na ninakila sifa ya mwanaume naomba msaada wa kitahara kwa great thinkers kama huna msaada okoa muda na pesa kwa kuacha kuchangia na bado utabarikiwa
 
Jf ni balaa kwa kweli.
c.c: Patrickn
 
Last edited by a moderator:
Mi ni mwanaume na ninakila sifa ya mwanaume naomba msaada wa kitahara kwa great thinkers kama huna msaada okoa muda na pesa kwa kuacha kuchangia na bado utabarikiwa

Ungeipeleka jukwaa la doctors nadhani ungepata ushauri wa kitabibu zaidi, ngoja madaktari MziziMkavu na Riwa waje huenda wana jibu mujarabu kwa swali lako.
 
Last edited by a moderator:
Mmh sasa inashindikana vipi kukata gogo hapo! mfumo wa ukataji gogo siunabaki vile vile tu!wataalamu ebu tupeni vitu au mwana namna gani nini!
 
kwani ukilipia huduma ya choo kuna tatizo gani..?! aisee hii kali ya mwaka!
 

Nenda haja kubwa kabla ya kufanya mapenzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…