Nikifanya nae mapenzi anaumia kwenye tumbo pembeni (kwenye nyonga)

newbeliever

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2015
Posts
248
Reaction score
48
Wanajamii habari zenu,

Mimi kuna tatizo linamkumba mpenzi wangu kila nikifanya nae mapenzi anasema eti mashine inamuumiza tumboni yaani kwa pembeni hivi karibia na nyonga.

Ila hii inatokana na style tunazotumia anazodai zinamuumiza mfano mbuzi kagoma au missionary ila nikiwa nimepiga magoti.

Hili tatizo linampata ila baada ya muda linapona anaweza akakaa hata siku nzima anaumia.

Naomba anaeyejua chanzo ni nini aniambie. Mie mashine yangu ni ndefu japo sio kivile, nene japo sio kivile.

Natanguliza shukrani.
 
So shida iliyokuleta hapa ni ipi hasa? Maana umeanza na mpenzi wako alafu umemalizia na wewe kujisifia eti ndefu....
Anyway ntajitahidi kupambana ili JF yangu isife, maana Kila kukicha ni topic zisizokua na kichwa wala miguu!!
 
Jaribuni kwenda hospital,maana yupo mmoja naye alikua anasikia hvyo kumbe anauvimbe tumboni.
 
So shida iliyokuleta hapa ni ipi hasa? Maana umeanza na mpenzi wako alafu umemalizia na wewe kujisifia eti ndefu....
Anyway ntajitahidi kupambana ili JF yangu isife, maana Kila kukicha ni topic zilizokua na kichwa wala miguu!!
Mpuuzi nn? Mie nimeelezea situation zote na size ya uume wangu kwamba ni wastani.hujaelewa nn?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…