Nikifanya nae mapenzi anaumia kwenye tumbo pembeni (kwenye nyonga)

Nikifanya nae mapenzi anaumia kwenye tumbo pembeni (kwenye nyonga)

If symptoms persists seek medical advice...

Siuende kwa physician helloooo
 
Wanajamii habari zenu,
Mimi kuna tatizo linamkumba mpenz wangu kila nikisex nae anasema et mashine inamuumiza tumboni yaan kwa pembeni hivi karibia na nyonga
Ila hii inatokana na style tunazotumia anazodai zinamuumiza mfano mbuzi kagoma au missionary ila nikiwa nimepiga magoti.
Hili tatizo linampata ila baada ya muda linapona anaweza akakaa hata siku nzima anaumia.
Naomba anaeyejua chanzo ni nini aniambie.Mie mashine yangu ni ndefu japo sio kivile,nene japo sio kivile
Natanguliza shukrani.
Ujana bana kaaazi kweli kweli,mashine yako ni ndefu na nene japo sio kiviile,umejuaje kuwa ni ndefu au ni nene,hebu tutajie vipimo vya ndefu na nene inakuwaje au tuwekee picha then tutakupa ushauri mzuri.
 
Imawezekana baadh ya viungo vya uzaz hushift position kutokana na style. Heb tumia style za kawaida Kama kifo cha mende. Tafuta style isiyomletea madhara. Pole sana
 
Back
Top Bottom