Nakazia. Ogopa. Au anaku-block kwenye simu na soacial media. Hapo mara nyingi anakuwa na mtu wa pembeni tayari.Mzee dalili hiyo si nzuri na usiipuuzie
Wakati una mblock unakua uko bize na nani?Kawaida sana,block& unblock?
Kawaida sanaaaaa🙄
Hasira,alone....sicheki na yeyote naulinda wangu moyo🤒Wakati una mblock unakua uko bize na nani?
Mi naogopa sana hasira za mwanamke. Anaenda toa penzi kisha hasira zikiisha anarudi kama sio yeyeHasira,alone....sicheki na yeyote naulinda wangu moyo🤒
Ukikaa siku kadhaa moyo unagoma kulindwalindwa...unaunblock 😪
Mwanamke akiwa na hasira hatoi penzi bali anachukia wanaume wote na kuwaona🐕Mi naogopa sana hasira za mwanamke. Anaenda toa penzi kisha hasira zikiisha anarudi kama sio yeye
kwani unajua yeye anatokea upande gani?Mkiambiwa msioe makabila ya kaskazini hamuelewi
Ucheki na wowote eehHasira,alone....sicheki na yeyote naulinda wangu moyo🤒
Ukikaa siku kadhaa moyo unagoma kulindwalindwa...unaunblock 😪
Experience ni kwamba unaishi na mtu mwenye matatizo ya akili, na matokeo ni kuwa ipo siku atakumwagia mafuta ya moto au tindikali au kukuchoma kisu. Na ikitokea akafanikiwa kuku ua mahakama itaamua kuwa ni man-slaughter, basi mambo yataishia hivyoHili nadhani ni tatizo la akili au sijui nini, yani tukipishaba kauli, kila kinachonihusu mimi kinafutwa hadi namba ya simu.
Baadae ana isave tena namba yangu ila ananisave majina ya ajabu ajabu, nimepiga mikwala ila imeshindikana, kuna mwenye experience na hili?
🤣🤣Hasira,alone....sicheki na yeyote naulinda wangu moyo🤒
Ukikaa siku kadhaa moyo unagoma kulindwalindwa...unaunblock 😪