Nikigombana na mke wangu anafuta kila kinachohusiana na mimi kwenye simu yake.

Subiri akutoe roho... Akupe magonjwa... Akupe ukichaa... Akupe ulemavu...
Kwani mama yako huyo fukuza mbwa hiyo by the way umeizalisha, achana naye...
 
Kwangu mimi mwanamke tukigombana na akaniambia "usinipigie wala kutuma sms tena" au "tuachane", baada ya hapoa mapenzi kwake yanapungua mazima kama siyo kuisha kabisa. Hizo kauli zinamaanisha sana hata kama akiongea kiutani nampiga chini kabla sijapigwa
 
Nimeshaishi maisha hayo na nikakua na kukomaa kiakili.
Ataendelea hivyo baada ya muda atakufuta kwenye Moyo.
Na kuna siku utafanyiwa tukio la hatari sana,ogopa sana watu wa aina hiyo.
 
Mwanamke akiwa na hasira hatoi penzi bali anachukia wanaume wote na kuwaona🐕
Weeeeh!!! Mwanamke mwenye hasira na mume wake analika kirahisi mnoo!!!
Hizi scenario tunazo, tena saa nyingine anakuomba mwenyewe ama kutengeneza mazingira ya ushawishi akihisi ni njia ya kulipa kisasi
 
Weeeeh!!! Mwanamke mwenye hasira na mume wake analika kirahisi mnoo!!!
Hizi scenario tunazo, tena saa nyingine anakuomba mwenyewe ama kutengeneza mazingira ya ushawishi akihisi ni njia ya kulipa kisasi
😳
 
KUbwa Bure umewahi kuowa lkn huna elimu ya ndoa na akili ya ndoa
 

Na wewe una ugonjwa wa akili Kama yeye, unampigaje mtu mwenye madhaifu mikwa? Unatakiwa kumuelewa na kumpa mda!
 
Bipolar
 
Hyo dozi anayotumia ni kubwa mno hvyo inatakiwa afanyiwe yule anaeachana nae lkn mnaishi pamoja halafu anafuta vitu vinavyohusiana na ww kweli huyo ana afya ya akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…