Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Hio sio milango ni namba za simu, mimi nazungumzia jumba la zeze, I mean Mwanazeze House0713/0717/0653/0655
Wahuni wameshanielewa.Hio sio milango ni namba za simu, mimi nazungumzia jumba la zeze, I mean Mwanazeze House
Inaumiza sana sijui waliumbwajeYaani unamaanisha "exhaust"..(eksozi). Nikitulia nitatoa uzi kuhusu eksozi,kwa nini watu wanaiharibu kwani kosa lake ni lipi?
Nyingi na ipi ushakutana na thread yenye title hio, mimi nazungumzia Mwanazeze House tafadhari bewareHizi mada sasa n nyingi sana, waleta mada wanajitahidi kubadili kichwa cha habari.
Sasa hizo syo namba hizo ni code za milango ya nyuma wew ndo hujaelewa yeye kamaanisha ninHio sio milango ni namba za simu, mimi nazungumzia jumba la zeze, I mean Mwanazeze House
inahuzunisha sanaShalom,
Napitia wakati ngumu sana nyakati hizi, wanawake, wadada, mabinti wengi ninaokutana nao zama hizi kwa ajili ya kulijenga jumba la maraha jumba la zeze, kwa bahati mbaya wengi wao tayari wanafunguo za milango yote ya nyumba kubwa na ndogo.
Nasikitika sana nawaza uelekeo wa maisha haya , naogopa mpaka naogopa tena na tena.
Wanawake tafadhari acheni matumizi ya ufunguo wa mlango wa mdogo.
Ni hayo tu hali ni mbaya sana
Wadiz
Huko ndo dunia inakoelekea au shetani anapowapeleka?Ukiona unashangaa hayo, ina maana umeshaanza kupitwa na wakati....huko ndiko dunia inakoelekea/iliko.