Nikihama kozi, mkopo niliopata utaendelea kuwepo?

Nikihama kozi, mkopo niliopata utaendelea kuwepo?

icon_2000

Senior Member
Joined
Jul 14, 2024
Posts
177
Reaction score
256
Naombeni kuuliza, mimi hapa nilipata mkopo 80% niko naanza 1st year mwaka huu kwa kozi ya Metarogy.

Je, naweza kuapply kwa dirisha hii lililo funguliwa UDOM na nikafanikiwa Diploma kwa kozi ya Nursing? Na naweza endelea kupata mkopo huo?

Naombeni msaada mimi sijui chochote
 
Naombeni kuuliza, mimi hapa nilipata mkopo 80% niko naanza 1st year mwaka huu kwa kozi ya metarogy, je naweza kuapply kwa drisha hii lililo funguliwa UDOM na nikafanikiwa diploma kwa kozi ya nursing? Na naweza endelea kupata mkopo huo?
Naombeni msaada mm sijui chochote
Mkopo wa digrii au?
 
Naombeni kuuliza, mimi hapa nilipata mkopo 80% niko naanza 1st year mwaka huu kwa kozi ya Metarogy.

Je naweza kuapply kwa dirisha hii lililo funguliwa UDOM na nikafanikiwa Diploma kwa kozi ya Nursing? Na naweza endelea kupata mkopo huo?

Naombeni msaada mimi sijui chochote
Ulipata mkopo kutokana na Terms and condition. Haukupata kutokana na aina ya chuo au kozi. Ikiwa utahama utajitajika kuomba tena ikiwa utakidhi vigezo na masharti kwa kozi uliodahiliwa utapata tena hyohyo. Ila hakuna mahusiano ya kozi moja kufanya kufaidika na mkopo katika kozi ingine. You have to start afresh.
 
Naombeni kuuliza, mimi hapa nilipata mkopo 80% niko naanza 1st year mwaka huu kwa kozi ya Metarogy.

Je naweza kuapply kwa dirisha hii lililo funguliwa UDOM na nikafanikiwa Diploma kwa kozi ya Nursing? Na naweza endelea kupata mkopo huo?

Naombeni msaada mimi sijui chochote
Diploma hapo ni mpka uombe mkopo mwingine, ingekuwa unahama kozi unaenda kozi nyingine degree ungeendelea kupata mkopo
 
Hiyo kozi unayosoma sijui mterelogy utakuja humu JF kulia hamns ajira, kozi gani hizo mnasoma sikuizi? Usha sikia bongo kuna shirika la hali ya hewa au una connection
 
Kwani penyewe kaka inawezekana kuhama kutoka degree kwenda diploma
Diploma nao wana mikopo yao, hawako under HELSB. Ila kwa hio kozi ya nursing haina mkopo hata kwa Diploma ada ni juu yako

Na wasiwasi na hio meterology utakuja kusumbuka baadae kutafta ajira. Tafta kozi nyingne ya degree ukitaks ubaki na huo mkopo, Teaching, afisa mifugo, kilimo, angalia kozi ambazo watu wanapatia ajira
 
Diploma nao wana mikopo yao, hawako under HELSB. Ila kwa hio kozi ya nursing haina mkopo hata kwa Diploma ada ni juu yako

Na wasiwasi na hio meterology utakuja kusumbuka baadae kutafta ajira. Tafta kozi nyingne ya degree ukitaks ubaki na huo mkopo, Teaching, afisa mifugo, kilimo, angalia kozivambazo watu wanapatia ajira
Shukran kaka mungu akubrik kwa ukarimu🙏🙏🙏
 
Back
Top Bottom