- Thread starter
- #21
Bac,ngoja nichukue ualimu kakaDiploma nao wana mikopo yao, hawako under HELSB. Ila kwa hio kozi ya nursing haina mkopo hata kwa Diploma ada ni juu yako
Na wasiwasi na hio meterology utakuja kusumbuka baadae kutafta ajira. Tafta kozi nyingne ya degree ukitaks ubaki na huo mkopo, Teaching, afisa mifugo, kilimo, angalia kozivambazo watu wanapatia ajira