Mkopo wa digrii au?Naombeni kuuliza, mimi hapa nilipata mkopo 80% niko naanza 1st year mwaka huu kwa kozi ya metarogy, je naweza kuapply kwa drisha hii lililo funguliwa UDOM na nikafanikiwa diploma kwa kozi ya nursing? Na naweza endelea kupata mkopo huo?
Naombeni msaada mm sijui chochote
Kozi gani hii bwana mdogo?kozi ya Metarogy
Ee ani ani nimepata mkopo wa degree asa nataka nend dploma ,Mkopo wa digrii au?
Inatolewa udsm kakaKozi gani hii bwana mdogo?
Ulipata mkopo kutokana na Terms and condition. Haukupata kutokana na aina ya chuo au kozi. Ikiwa utahama utajitajika kuomba tena ikiwa utakidhi vigezo na masharti kwa kozi uliodahiliwa utapata tena hyohyo. Ila hakuna mahusiano ya kozi moja kufanya kufaidika na mkopo katika kozi ingine. You have to start afresh.Naombeni kuuliza, mimi hapa nilipata mkopo 80% niko naanza 1st year mwaka huu kwa kozi ya Metarogy.
Je naweza kuapply kwa dirisha hii lililo funguliwa UDOM na nikafanikiwa Diploma kwa kozi ya Nursing? Na naweza endelea kupata mkopo huo?
Naombeni msaada mimi sijui chochote
Kwani penyewe inawezekana kuhama kutoka degree kwenda diploma? KakaUlipata mkopo kutokana na Terms and condition. Haukupata kutokana na aina ya chuo au kozi. .
Kwani penyewe inawezekana kuhama kutoka degree kwenda diplomaUliona wapi diploma akipewa mkopo
Diploma hapo ni mpka uombe mkopo mwingine, ingekuwa unahama kozi unaenda kozi nyingine degree ungeendelea kupata mkopoNaombeni kuuliza, mimi hapa nilipata mkopo 80% niko naanza 1st year mwaka huu kwa kozi ya Metarogy.
Je naweza kuapply kwa dirisha hii lililo funguliwa UDOM na nikafanikiwa Diploma kwa kozi ya Nursing? Na naweza endelea kupata mkopo huo?
Naombeni msaada mimi sijui chochote
Shukran kwa ufafanuzi wakoDiploma hapo ni mpka uombe mkopo mwingine, ingekuwa unahama kozi unaenda kozi nyingine degree ungeendelea kupata mkopo
Kwani penyewe kaka inawezekana kuhama kutoka degree kwenda diplomaEndelea na degree hiyo
Ila ukihama utaanza upya na probability ya kuhama na mkopo ni 0.01
Diploma nao wana mikopo yao, hawako under HELSB. Ila kwa hio kozi ya nursing haina mkopo hata kwa Diploma ada ni juu yakoKwani penyewe kaka inawezekana kuhama kutoka degree kwenda diploma
π€£Kwani penyewe inawezekana kuhama kutoka degree kwenda diploma
Shukran kaka mungu akubrik kwa ukarimuπππDiploma nao wana mikopo yao, hawako under HELSB. Ila kwa hio kozi ya nursing haina mkopo hata kwa Diploma ada ni juu yako
Na wasiwasi na hio meterology utakuja kusumbuka baadae kutafta ajira. Tafta kozi nyingne ya degree ukitaks ubaki na huo mkopo, Teaching, afisa mifugo, kilimo, angalia kozivambazo watu wanapatia ajira
πππSina uzoefu ila kuhama itakusumbua sana.