Nikihama kozi, mkopo niliopata utaendelea kuwepo?

Bac,ngoja nichukue ualimu kaka
 
Bac,ngoja nichukue ualimu kaka
Chukua na somo la sayansi angalau moja hua walimu wa sayansi wanapat prioty kuliko Art.
Ukimaliza chuo ata Unawez kufungua tuition Center yako ujiajiri ukisubiri ajira. Huo mkopo ukiweza kuutumia vizuri kajiribu ku save maana huku mtaani life ni gumu upate angalau back up ya kuanzia ( biashara)

Hio kozi ya metrology/ hali ya hewa ata ukisema ujiajiri utafanya nn sasa. Chamsingi ni kupata pesa hicho cheti ni back up endapo mambo yako yakigoma utakitumia . Lengo ni kupta financial freedom ambayo haipatikani kwa ajira
 
Mdogo wangu naona unataka kujichanganya. Ni bora uhame chuo kuliko kuhama kozi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…