Nikiingia kwenye mahusiano yanavunjika ndani ya muda mfupi sana

Ninapitia katika hali Kama yako hivyo naujua uchungu wa upweke kwa kukosa mpenzi kwa muda mrefu.

Ninachokisema wengi hawajazugumzia engo hii kwamba uenda Kuna kitu Cha Giza kinakublock wewe kufurahia mahusiano Kuna majini mahaba, laana za ukoo, au husda,kijicho, mazongo.

Katika maisha hata ukiwa mchafu, mkorofi, mjinga na maskini wa kiasi chochote kile lazma utampata mwenzio wa kufanana nae atakaekuwa tayari kukuvumilia kwa hayo yote. Ndio maana Kuna watu hata wewe unawaona wanakuibia Hadi demu wako lakini ukiwaona na kuwachunguza unagundua ni wa kawaida tu! Sababu Ni rahisi hao ndio watu hawana spiritual blockage kana kwamba Ni rahisi kwao kuwa accepted.

Inawezekana kukataliwa na wanawake kadhaa lakini ukiona idadi imekuwa kubwa na haudumu kwenye mahusiano ujue Kuna kitu Cha ziada kinasumbua.. Demu mmoja kukukimbia ni kawada ila wakiwa 10 ujue kimeumana.

Ninachokushauri kulingana na tatizo lako unahitaji zaidi spiritual deliverance kuliko Advise ya kawaida.

Na watu wa hivi huwa mnakuwa perfect saana kwenye kila idara za kawaida kuanzia usafi n.k lakini kumbe Kuna tatizo tofauti kabisa.

Nahisi niishie hapa.
 
Ahsante kwa ushauri mkuu
 
Ahsante sana bro nitafanyia kazi ushauri wako
 
Ahsante sana kwa ushauri nitaufanyia kazi
 
No
 
Umeambiwa kuwa kama mwanaume Mkuu sasa Nyoa kipara paka mafuta hakikisha kinang'aa aaafu uwe kauzu yaani usichekecheke usiwe na mazoea kuchekeana na watu barabarani yaani kuwa kauzu kuna mtoto wa mtu atakuelewa tu
 
Jiiteni Majina mazuri...wewe Mwenywe unajita Bad luck kwanini warembo wasikikimbie....nani anataka mikosi
 
Jiiteni Majina mazuri...wewe Mwenywe unajita Bad luck kwanini warembo wasikikimbie....nani anataka mikosi
 
Pole sana.
Utakuwa una hulka fulani za upole ule uliopitiliza, haujachangamka, hauna amsha amsha. Ukizingatia na umri ndio kabisaa, vumilia tu mpaka ujitafute na kujipata. Utatendwa sana tu maana good boys huwaga hawana bahati sijui kwanini!!
Mungu tu akusaidie in the long run usije kuwehuka huko mbele ukawa na roho mbaya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…