Nikiingia kwenye mahusiano yanavunjika ndani ya muda mfupi sana

Nikiingia kwenye mahusiano yanavunjika ndani ya muda mfupi sana

Mimi ni kijana wa miaka 25 kiukweli toka nimekuwa mtu mzima mpaka leo sijawahi kudumu kwenye mahusiano japo kwa miezi miwili mi mara nyingi ni mwezi mmoja then nakula kibuti cha haja hichi kitendo kwa kweli kinanipa wakati mgumu na kinanifanya nisijiamini kabisa coz nikishaingia kwenye mahusiano basi naanza kuwa na hofu basi najitahidi kumtreat mpenz wangu vzr ili yasitokee yaliopita lakini bado unakuja kumwagwa sasa sijui shida ni nini?


Maana muenokano wangu c mbaya na napendwa hatari shida ni kuwa nikiingia tu kwenye mahusiano hata na hao wanaoonyesha kunipenda bac ni mwezi mmoja mapenzi yanakufa kitabia ni kijana mpole, mstaarabu na mnyenyekevu.

Sasa sijui huwa nakosea wapi au ni mkosi mwezi uliopita nilijitahidi nikapata mtoto mmoja mzuri sana ila juzi tu tayari nimemwagwa et kisa niliahidiwa kiss na hugging bac mi nikapitiliza nikashika mpaka mbunye kuamka asubuhi nakuta tayari nimemwagwa na nishakula block ya nguvu kuja kumuuliza kisa naambiwa nilivunja masharti yani niligusa sehem ambazo sikuahidiwa.


Hakika ninaumia sana sijui tatzo langu huwa ni lipi mpaka kuna kipindi nilijiona sina thamani nkawa napiga nyeto tu kwa miaka kadhaa maana mahusiano kwangu yashakuwa magumu ila baadae niliamua kuacha.

Nakumbuka kipindi flani nyuma nilibahatika kuwa na mahusiano na mtoto mmoja wa uswahilini siku moja tupo gheto aliniambia kauli moja KUWA KAMA MWANAUME mpaka leo hii kauli huwa naitafakari sana nae hatukudumu coz alienda kugawa namba yangu kwa muhuni mmoja wa huko uswahilini akaanza kunitishia maisha siku nilikuja kuwafuma mshikaji ni choka mbaya hatari lakini bado kaweza kuniangusha hapo ndio nikaamini nina tatzo mahali na kuna kipindi aliniomba tishet zangu nikampa nayeye akaenda kuumpa huyo muhuni wake hakika niliumia sana sifa zangu huwa ni mpole sana na pia kitendo cha kutodumu kwenye mahusiano kimenifanya nisijiamini kabisa.


Hii kitu imeniathiri sana kisaikolojia napoona watu na wapenzi wao huwa najuuliza sana kasoro yangu mimi ni ipi maana nikitongoza nakubaliwa ila baada ya hapo ni kumwagwa.

Naamini hapa jf ni mahala sahihi pa kupata suluhisho la tatizo langu naombeni msaada wa mawazo yenu ili niondokane na tatzo hili. Kiukweli hali ni mbaya nahitaji msaada. Note mimi ni msafi sana tena mtanashati
Ninapitia katika hali Kama yako hivyo naujua uchungu wa upweke kwa kukosa mpenzi kwa muda mrefu.

Ninachokisema wengi hawajazugumzia engo hii kwamba uenda Kuna kitu Cha Giza kinakublock wewe kufurahia mahusiano Kuna majini mahaba, laana za ukoo, au husda,kijicho, mazongo.

Katika maisha hata ukiwa mchafu, mkorofi, mjinga na maskini wa kiasi chochote kile lazma utampata mwenzio wa kufanana nae atakaekuwa tayari kukuvumilia kwa hayo yote. Ndio maana Kuna watu hata wewe unawaona wanakuibia Hadi demu wako lakini ukiwaona na kuwachunguza unagundua ni wa kawaida tu! Sababu Ni rahisi hao ndio watu hawana spiritual blockage kana kwamba Ni rahisi kwao kuwa accepted.

Inawezekana kukataliwa na wanawake kadhaa lakini ukiona idadi imekuwa kubwa na haudumu kwenye mahusiano ujue Kuna kitu Cha ziada kinasumbua.. Demu mmoja kukukimbia ni kawada ila wakiwa 10 ujue kimeumana.

Ninachokushauri kulingana na tatizo lako unahitaji zaidi spiritual deliverance kuliko Advise ya kawaida.

Na watu wa hivi huwa mnakuwa perfect saana kwenye kila idara za kawaida kuanzia usafi n.k lakini kumbe Kuna tatizo tofauti kabisa.

Nahisi niishie hapa.
 
mkuu lazima kuna kasoro unayo mahali ambayo wengi wanaiona wewe huioni, jitathimini masaa kadhaa ww ni mtu wa aina gani? amna kitu chenye heshima kwa mwanaume kama mwonekano mzima.
Jiweke smart, kama huna la maana usimingle na mademu wasio na kazi au pesa unajipoteza sana.

Mfano ukiwa na gheto lako safi kali kabati plus dstv kitanda taa nzuri sidhani kama kweli unaeza kosa demu au pisi kali itayo lia kisa wewe.

akija anapata kinywaji murua juice au whatever bavaria. unakuwa na bajaji wako unampigia anawachukua anawapeleka maeneo fulani amazing (usidate na demu mnywa pombe atakuset), mkuu hakikisha demu sio yatima anapokuwa na wewe, ukikaka kiboya utapigwa mizinga.
Ahsante kwa ushauri mkuu
 
Shida yako ndo' hiyo kijana.. UPOLE kitaalamu unaitwa "introvert" na hasara mojawapo ya kuwa introvert ni KUTODUMU KWENYE MAHUSIANO

Unajua kwanini???

Kwasababu wanawake wanapenda mwanaume 'bandidu', 'bad boy' mwenye mikiki mikiki, "no nonses" katili kiasi.. sio mwanaume legelege anayetumia mda mwingi KUBEMBELEZA BEMBELEZA Mwanamke! Ndio maana ukaambiwa KUWA MWANAUME[emoji41] na usitumie mda mwiiingi kumuonesha mwanamke kuwa unampenda hilo ndo KOSA LA PILI maana atakuona zoba tu na hata kujali wala kukuheshimu. Usijifanye umezama kwa mwanamke maana akigundua hilo anajua huna ujanja, anakupuuza

A man has to be a man
Ahsante sana bro nitafanyia kazi ushauri wako
 
Ukikutana na mwanamke kwa mara ya kwanza ukamkaza vizuri kabisa, lazima atarudi.

Jichunguze kwenye kukaza uwezo wako uko vp. (Tendo la ndoa)

Mwanamke huwa anavutiwa kutokana na kile anachokisikia, huwa ni story gani unazopiga na mpenzi wako mara nyingi? Kuna story za kufurahisha, kufikirisha na kustaajabisha, jua namna ya kuzichanganya hizi, yaani isiwe masaa yote mkikutana mnaongelea mapenzi tu na akuzoee hivyo. Hapana. Jaribu kuwa flexible yaani muda flani msifie, mda flani ongelea maisha future yako na mengine serous kidogo yaani jua kuzibalance hizo story.

Usiruhusu mwanamke kuuelewa udhaifu wako kabla ya wewe kugundua. Yaani jielewe na ujue udhaifu wako na wapi upo vizuri kisha ishi naye pasipo kuruhusu kukusoma na kukuelewa kwa asilimia mia. Yaani usimpe mwanamke chance mapema ya kukujua kiundani zaidi.

Kuwa smart, siyo kimavazi tu, hata kichwani pia, yaani jua vingi na ujifunze kuishi maisha kama mpelelezi (wazee wa kitengo).

JIAMINI mzee. Be bold, kuwa na ma-confidence yako kama yote halafu usionekane wa kuchekacheka kila wakati, sometimes smile kisha vaa sura ya kazi, yaani ishi na mpenzi wako vile ambavyo unaweza kukaa na mdogo wako kama kuna jambo la kukataza unakataza na unatoa ushauri smart kimahaba.

Hapo tupo mzee?? Haya tuendelee!!

Mfanyie vitu vidogo vidogo hadharani kama surprise. Mfano Binafsi nina tabia ya kumkiss mpenzi wangu mbele za watu wengi, yaani iwe njiani au stendi ghafla namgeuza na kumkumbatia kisha kiss la paji la uso nabaki kusukumwa kimahaba na kupigwa kofi kimahaba lakini nia yangu tayari nimeitimiza na huwa hazisahauliki hizo moments.

Tafuta namna yoyote ya kumpa surprise yoyote, ila zinagtia usifanye surprise ambazo asilimia 80 ni za kutumia pesa, Hapana, jua namna ya kubalance, zingine ziwe natural kama kiss hadharani (uwe makini kuchagua mazingira na maeneo), kumkumbatia ghafla pasipo yeye kutegemea.

Mwisho you're still young bro, piga tizi pia itakupa confidence ya kufanya yote hayo. Lakini kama una namna yako ya kupata confidence ambayo itakusaidia kufanya yote hayo pia sawa.

Ila kauli ya "KUWA MWANAUME' huja baada ya mwanamke kuyaona madhaifu yako live kabisa.

Jithathmini wapi haupo vizuri kisha anza kufanyia kazi.

Pia usipanie sana kuwa na mwanamke yaani usichukulie kitu fulani serous saaaana, Hapana na ndiyo maana kila ukipata unajinyenyekeza kwao kupita kiasi kitu ambacho ni kosa kubwa hivyo wao kuwa na advantage ya kukuendesha.

Mtengenezee mwanamke mazingira ya yeye KUKUHITAJI kuliko wewe kumuhitaji (usimuonyeshe wala kutumia nguvu kutengeneza mazingira hayo maana akijua tu lazima ataanza kujihami).

Na akishakupenda vizuri na yeye ataanza game la kutengeneza mazingira ya wewe KUMUHITAJI.

Mengine wataongezea wataalamu
Ahsante sana kwa ushauri nitaufanyia kazi
 
No
Pole mkuu maana nimesoma na kuona frustratiom ulizonazo

Ila kwa kauli ya "Kuwa kama mwanaume"

Ikitoka kwa mtoto wa uswahilini inamaanisha hauna haiba ya kiume na ninadhani inatokana na hapo kwenye "Upole, unyenyekevu na ustaarabu ". Kwa umri wa miaka 25 lazma una_date na mabinti walio chini ya hapo

Sasa kwa stage hiyo drama na amsha amsha ndio hupewa kipaumbele kwa walio wengi. Sasa bro kama umepoa, unatabirika, huna sauti, masculinity na wewe ni mtu wa kupelekeshwa .automatically unadharaurika na ukijichanganya uswazi ndio wanatamani hata wakuvishe kijora (kumradhi).

Pia Nimesoma between lines na nimeona hujiamini, haujivunii kuwa wewe yaani haujipendi kwa jinsi ulivyo, ushajiona umepungukiwa na unaona njia bora ni kuwalazimisha watu wakupende.

Hivi kitu si bure lazma kuna sababu ya hii hali ambayo ndio tiba yako ilipo, pengine inatokea kwenye makuzi yako au historia flani uliyonayo. Si kitu cha bahati mbaya au kusema huna hata idea nalo kama ahasnte kwa ushauri
 
Umeambiwa kuwa kama mwanaume Mkuu sasa Nyoa kipara paka mafuta hakikisha kinang'aa aaafu uwe kauzu yaani usichekecheke usiwe na mazoea kuchekeana na watu barabarani yaani kuwa kauzu kuna mtoto wa mtu atakuelewa tu
 
Jiiteni Majina mazuri...wewe Mwenywe unajita Bad luck kwanini warembo wasikikimbie....nani anataka mikosi
 
Jiiteni Majina mazuri...wewe Mwenywe unajita Bad luck kwanini warembo wasikikimbie....nani anataka mikosi
 
Pole sana.
Utakuwa una hulka fulani za upole ule uliopitiliza, haujachangamka, hauna amsha amsha. Ukizingatia na umri ndio kabisaa, vumilia tu mpaka ujitafute na kujipata. Utatendwa sana tu maana good boys huwaga hawana bahati sijui kwanini!!
Mungu tu akusaidie in the long run usije kuwehuka huko mbele ukawa na roho mbaya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom