aiseeeeeeeeeeehhh haya baaanaNilianza mimi kuingiza ikakataa, basi nikamwambia mwenzangu anisaidie tuingize kwakusaidia pamoja kila mtu akiwa ameishika ikakataa kuingia.
Mwenzangu akasema tundu lake ni dogo haiwezi penya au kuingia kabisa.
Tundu hilo hilo ndo inaingilia kwenye nyingine lakini hii pin kubwa ya nokia imekataa kwenye samsung.
Pin ndogo ya Nokia unaipeleka kwenye Samsung haaaaaah! Unatekesha lakini ngoma lazima igome, na usipo angalia uking'ang'ania simu yako haitangiza charge kabisa au kiswahili kingine simu imelala doro.aiseeeeeeeeeeehhh haya baaana
Nilianza mimi kuingiza ikakataa, basi nikamwambia mwenzangu anisaidie tuingize kwakusaidia pamoja kila mtu akiwa ameishika ikakataa kuingia.
Mwenzangu akasema tundu lake ni dogo haiwezi penya au kuingia kabisa.
Tundu hilo hilo ndo inaingilia kwenye nyingine lakini hii pin kubwa ya nokia imekataa kwenye samsung.