Nikijamiana naumwa sana tumbo mpaka siwezi kutembea

Nikijamiana naumwa sana tumbo mpaka siwezi kutembea

Wakuu hapa ni Jf doctor ameamini ni jukwaa sahihi la kupata msaada sasa watu weng mnamzonga badala ya kumshauri. . Mkuu nenda hospital naamini utasaidiwa zaidi najua hapa umepata majibu ya kila aina na pole sana mamiake
 
Everything in Nigeria is big.

Wadada wamezidi sana kuwasema vijana,sasa wameamua kutafuta njia za kuwaridhisha wanalalamika tena.

Kweli kumridhisha mwanamke ni kazi ngumu sana.
Wahi hospital dada

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Itakuwa katika uzibuaji,wamevunjaa baadhi ya makolokolo sasa daaa.....nenda tu hospital tafuta muuguzi wa kike mwambie,au wa kiume ambaye umrii umeenda sana
 
Amekutana na Mhogo wa jang'ombe inchi 9, plus Vumbi la Congo... hapo lazima mbunye iombe poo!

Dada nenda hospital kapime magonjwa ya Zinaa, na waangalie kizazi.

-Kaveli-
 
Lilianza kuuma sa ngapii?? Ulipofika home au at instant after kumaliza?? Au during mgegedo?? Elezea nikusaidie nn kinakusumbua ilo tatizo sio geni

sent from my iPhone 6
 
nina miaka mitano sijawai kukutana na mwanaume .nimefanya mapenzi naumwa sana tumbo siwezi hata kutembea .naombeni ushauri
Labda dudu ya huyo mwanaume ni ndefu sana hadi imefika kwenye kizazi! Maumbile ya huyo mwanaume unayaonaje? Ni makubwa au ya kawaida tuu.
 
Dada huo sio ugonjwa bali uliye anza naye hakuwa saizi yako. Waweza kuwa na uke mfupi halafu ghafla ukakutana na hogo la jyang'ombe. Sasa, jaribu kwa kuwatumia vijana wadogo wadogo. Japo hairuhusiwi ila hawa watakusaidia kuurudisha mahali pake. Inaitwa nyumba ya mtoto hiyo, imesukumwa mbele zaidi ikaachwa huko huko.
 
Back
Top Bottom