Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
Labda dudu ya huyo mwanaume ni ndefu sana hadi imefika kwenye kizazi! Maumbile ya huyo mwanaume unayaonaje? Ni makubwa au ya kawaida tuu.nina miaka mitano sijawai kukutana na mwanaume .nimefanya mapenzi naumwa sana tumbo siwezi hata kutembea .naombeni ushauri
Umeolewa?sina hamu kwa kweli hata kutembea siwezi .hata nyumbani nimefika tu kwa kubahatisha
Kapige game la pili ikiwezekana hadi la tatu halafu leta marejesho hapa.nina miaka mitano sijawai kukutana na mwanaume .nimefanya mapenzi naumwa sana tumbo siwezi hata kutembea .naombeni ushauri
mbona hamniambii dawa bali mnanijadili?
Pole sana..... chukua kitambaa kiwekee barafu then pitisha tumboni mpaka kiunoni then upumzike.mbona hamniambii dawa bali mnanijadili?
Pole sana.chukua kitambaa then kiwekee barafu then pitisha tumboni mpaka kiunoni then upumzike.mbona hamniambii dawa bali mnanijadili?
Dawa nenda hospital my Dear. Huku watakuzingua Tuu Na papuchi imeliwa na Tumbo ndio hilo linauma. Pole sana.mbona hamniambii dawa bali mnanijadili?
NENDA HOSPITALI NDIO DAWA BIBIEmbona hamniambii dawa bali mnanijadili?