Nikijibiwa kitaaluma na kuelimishwa vyema juu ya hili swali langu nitaondoa wasiwasi juu ya elimu ya Tanzania na matokeo ya mitihani

Nikijibiwa kitaaluma na kuelimishwa vyema juu ya hili swali langu nitaondoa wasiwasi juu ya elimu ya Tanzania na matokeo ya mitihani

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Swali...

Je, Kipaumbele cha sasa cha Serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Elimu na Wadau wa Elimu ni Kufaulisha sana na Kushindanisha tu Shule za Serikali na Binafsi au ni Kuzalisha Wasomi (Future Intellectuals) wa uhakika wa kuja Kuisaidia Tanzania katika Changamoto zake nyingi za Msingi?

Sasa najiandaa Kusoma Maoni yenu tu.
 
Swali...

Je, Kipaumbele cha sasa cha Serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Elimu na Wadau wa Elimu ni Kufaulisha sana na Kushindanisha tu Shule za Serikali na Binafsi au ni Kuzalisha Wasomi ( Future Intellectuals ) wa uhakika wa kuja Kuisaidia Tanzania katika Changamoto zake nyingi za Msingi?

Sasa najiandaa Kusoma Maoni yenu tu.
Hakuna waziri anayeweza kukujibu swali lako kiusahihi labda ajibu kisanii.
 
Hakuna waziri anayeweza kukujibu swali lako kiusahihi labda ajibu kisanii.
Mkuu ina maana hata Profesa Ndalichako mwenye 'Doctorate' yake atashindwa kujibu Swali hili jepesi ( laini ) mno la GENTAMYCINE mwenye 'Kadigrii' kake kamoja tu alikopata mwaka 2009?
 
Mkuu nimecheka sana kwa Kiingereza cha Profesa Mama Ndalichako.

Umewaza nini hadi ukanitumia hii Mkuu?
Popoma jamaa kakutumia ili ujue kuwa ulichouliza bado hatuna uwezo wa kukujibu swali Hilo Ila Cha kujiuliza Kama huyo ndio mwenye wizara na ndio Prof na hiyo ndio ngeli yake, hakuna haja ya kukujibu 😂😂😂😂
 
Profesa anakitafuta sana Kiingereza halafu hapo hapo tena anakikosea kwa Kuchapia na Kukizungumza kwa Kiha zaidi. Nimecheka ile mbaya Mkuu.
 
So does it justify to our Education Failure?

So does it justify to our Education Failure?
images (74).jpeg
Indeed
 
##UPUUZI MTUPU...kufurahia matokeo makubwa na huku kazi za hayo matokeo zikiwa hazijulkan THIS IS USELESS...tena ni upumbv mkubwa kwa kizaz hiki cha tecnolojia na kwa nchi hii ilipofikia hatua mbaya sana ktk sekta za ajira na mifumo ya elimu,,Hapo hakuna jipya ktk hayo matokeo maana hayana msaada ktk taifa zaid ya kuzusha kiki na umwamba kwa wanasiasa na mawazir wa elimu,,elimu bora ilkuwa zaman sio sasa, elimu bora ingebase kwenye kumfanya mwanafunz afikili n nini chakufanya na sio afikil atafanyiwa nini na serkal baada ya masomo, so hayo magredi yenu yakipuuzi hayana maana kabisa sabbu mnarudia tatizo lile lile la kukusanya graduate weng mtaan huku wakiwa na vichwa empty, yaan akil visoda, wanafunz walalamish na wavvu wa kufanya kaz za kuvuja jasho kwa kutegemea mserereko wa ajira za kugombania....WIZARA YA ELIMU NI USELESS KABISA.....
img_2_1617607811687.jpg
 
Swali...

Je, Kipaumbele cha sasa cha Serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Elimu na Wadau wa Elimu ni Kufaulisha sana na Kushindanisha tu Shule za Serikali na Binafsi au ni Kuzalisha Wasomi ( Future Intellectuals ) wa uhakika wa kuja Kuisaidia Tanzania katika Changamoto zake nyingi za Msingi?

Sasa najiandaa Kusoma Maoni yenu tu.
Wakati Shulke za Binafsi Zinashinda mlikuwa mnashangiliaaaa. Sasa hivi Shule za Serekali Tuanawashinda Mnaleta za kuleta. Ukweli ndio huo. Miundo mbinu imeboreka , sasa ndoja tuboreshe maslahi ya walime hamtaona ndani. Habari ndio Hiyo!
 
##UPUUZI MTUPU...kufurahia matokeo makubwa na huku kazi za hayo matokeo zikiwa hazijulkan THIS IS USELESS...tena ni upumbv mkubwa kwa kizaz hiki cha tecnolojia na kwa nchi hii ilipofikia hatua mbaya sana ktk sekta za ajira na mifumo ya elimu,,Hapo hakuna jipya ktk hayo matokeo maana hayana msaada ktk taifa zaid ya kuzusha kiki na umwamba kwa wanasiasa na mawazir wa elimu,,elimu bora ilkuwa zaman sio sasa, elimu bora ingebase kwenye kumfanya mwanafunz afikili n nini chakufanya na sio afikil atafanyiwa nini na serkal baada ya masomo, so hayo magredi yenu yakipuuzi hayana maana kabisa sabbu mnarudia tatizo lile lile la kukusanya graduate weng mtaan huku wakiwa na vichwa empty, yaan akil visoda, wanafunz walalamish na wavvu wa kufanya kaz za kuvuja jasho kwa kutegemea mserereko wa ajira za kugombania....WIZARA YA ELIMU NI USELESS KABISA.....View attachment 1850097
Nimependa sana Uchambuzi wako huu makini, wa kweli na ulioenda Shule Mkuu. Nikikutana na 'Brainiacs' kama Wewe hapa JamiiForums huwa ninafurahi mno tu. Heko sana na Umemaliza kila Kitu.
 
Wakati Shulke za Binafsi Zinashinda mlikuwa mnashangiliaaaa. Sasa hivi Shule za Serekali Tuanawashinda Mnaleta za kuleta. Ukweli ndio huo. Miundo mbinu imeboreka , sasa ndoja tuboreshe maslahi ya walime hamtaona ndani. Habari ndio Hiyo!
Kwa Walimu wa hovyo walioko Shule za Serikali na Mikakati ya Wizara ( Serikali ) kuhakikisha Shule zao zinafaulisha kwa Mbinu Chafu za 'Kulikisha' Mitihani ndiyo leo uje uniambie kuwa Elimu imeimarika ghafla Shule za Serikali? Please go and lie your fellow Morons and not me an Educator professionally okay?
 
Back
Top Bottom