GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Mkuu nimecheka sana kwa Kiingereza cha Profesa Mama Ndalichako.
Huyo ndio Think tank wa wizara tajwa kwenye madaMkuu nimecheka sana kwa Kiingereza cha Profesa Mama Ndalichako.
Umewaza nini hadi ukanitumia hii Mkuu?
Hakuna waziri anayeweza kukujibu swali lako kiusahihi labda ajibu kisanii.Swali...
Je, Kipaumbele cha sasa cha Serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Elimu na Wadau wa Elimu ni Kufaulisha sana na Kushindanisha tu Shule za Serikali na Binafsi au ni Kuzalisha Wasomi ( Future Intellectuals ) wa uhakika wa kuja Kuisaidia Tanzania katika Changamoto zake nyingi za Msingi?
Sasa najiandaa Kusoma Maoni yenu tu.
So does it justify to our Education Failure?Huyo ndio Think tank wa wizara tajwa kwenye mada
Au nasema uongo ndugu yangu?
Jesus Christ
Mkuu ina maana hata Profesa Ndalichako mwenye 'Doctorate' yake atashindwa kujibu Swali hili jepesi ( laini ) mno la GENTAMYCINE mwenye 'Kadigrii' kake kamoja tu alikopata mwaka 2009?Hakuna waziri anayeweza kukujibu swali lako kiusahihi labda ajibu kisanii.
Popoma jamaa kakutumia ili ujue kuwa ulichouliza bado hatuna uwezo wa kukujibu swali Hilo Ila Cha kujiuliza Kama huyo ndio mwenye wizara na ndio Prof na hiyo ndio ngeli yake, hakuna haja ya kukujibu 😂😂😂😂Mkuu nimecheka sana kwa Kiingereza cha Profesa Mama Ndalichako.
Umewaza nini hadi ukanitumia hii Mkuu?
Profesa anakitafuta sana Kiingereza halafu hapo hapo tena anakikosea kwa Kuchapia na Kukizungumza kwa Kiha zaidi. Nimecheka ile mbaya Mkuu.Popoma jamaa kakutumia ili ujue kuwa ulichouliza bado hatuna uwezo wa kukujibu swali Hilo Ila Cha kujiuliza Kama huyo ndio mwenye wizara na ndio Prof na hiyo ndio ngeli yake, hakuna haja ya kukujibu 😂😂😂😂
So does it justify to our Education Failure?
So does it justify to our Education Failure?
Wakati Shulke za Binafsi Zinashinda mlikuwa mnashangiliaaaa. Sasa hivi Shule za Serekali Tuanawashinda Mnaleta za kuleta. Ukweli ndio huo. Miundo mbinu imeboreka , sasa ndoja tuboreshe maslahi ya walime hamtaona ndani. Habari ndio Hiyo!Swali...
Je, Kipaumbele cha sasa cha Serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Elimu na Wadau wa Elimu ni Kufaulisha sana na Kushindanisha tu Shule za Serikali na Binafsi au ni Kuzalisha Wasomi ( Future Intellectuals ) wa uhakika wa kuja Kuisaidia Tanzania katika Changamoto zake nyingi za Msingi?
Sasa najiandaa Kusoma Maoni yenu tu.
Nimependa sana Uchambuzi wako huu makini, wa kweli na ulioenda Shule Mkuu. Nikikutana na 'Brainiacs' kama Wewe hapa JamiiForums huwa ninafurahi mno tu. Heko sana na Umemaliza kila Kitu.##UPUUZI MTUPU...kufurahia matokeo makubwa na huku kazi za hayo matokeo zikiwa hazijulkan THIS IS USELESS...tena ni upumbv mkubwa kwa kizaz hiki cha tecnolojia na kwa nchi hii ilipofikia hatua mbaya sana ktk sekta za ajira na mifumo ya elimu,,Hapo hakuna jipya ktk hayo matokeo maana hayana msaada ktk taifa zaid ya kuzusha kiki na umwamba kwa wanasiasa na mawazir wa elimu,,elimu bora ilkuwa zaman sio sasa, elimu bora ingebase kwenye kumfanya mwanafunz afikili n nini chakufanya na sio afikil atafanyiwa nini na serkal baada ya masomo, so hayo magredi yenu yakipuuzi hayana maana kabisa sabbu mnarudia tatizo lile lile la kukusanya graduate weng mtaan huku wakiwa na vichwa empty, yaan akil visoda, wanafunz walalamish na wavvu wa kufanya kaz za kuvuja jasho kwa kutegemea mserereko wa ajira za kugombania....WIZARA YA ELIMU NI USELESS KABISA.....View attachment 1850097
Kwa Walimu wa hovyo walioko Shule za Serikali na Mikakati ya Wizara ( Serikali ) kuhakikisha Shule zao zinafaulisha kwa Mbinu Chafu za 'Kulikisha' Mitihani ndiyo leo uje uniambie kuwa Elimu imeimarika ghafla Shule za Serikali? Please go and lie your fellow Morons and not me an Educator professionally okay?Wakati Shulke za Binafsi Zinashinda mlikuwa mnashangiliaaaa. Sasa hivi Shule za Serekali Tuanawashinda Mnaleta za kuleta. Ukweli ndio huo. Miundo mbinu imeboreka , sasa ndoja tuboreshe maslahi ya walime hamtaona ndani. Habari ndio Hiyo!
Swali jepesi lakini jibu lake lina uzito sana.Mkuu ina maana hata Profesa Ndalichako mwenye 'Doctorate' yake atashindwa kujibu Swali hili jepesi ( laini ) mno la GENTAMYCINE mwenye 'Kadigrii' kake kamoja tu alikopata mwaka 2009?