Saiga yane
New Member
- Aug 21, 2016
- 3
- 0
Nisaidieni dawa ya kuvimba miguu, nasumbuliwaga sana na tatizo hili nyakati za mchana tu ila nikiamka asubuhi huwa niko sawa ila kadri siku inavyokwenda ndivyo inavyozidi kuvimba, mimi huwa nakaa nainyoonsha mezani au kwenye kiti na hurudia hali yake ya kawaida.