Nikikaa miguu yangu inavimba, dawa yake ni nini?

Saiga yane

New Member
Joined
Aug 21, 2016
Posts
3
Reaction score
0
Nisaidieni dawa ya kuvimba miguu, nasumbuliwaga sana na tatizo hili nyakati za mchana tu ila nikiamka asubuhi huwa niko sawa ila kadri siku inavyokwenda ndivyo inavyozidi kuvimba, mimi huwa nakaa nainyoonsha mezani au kwenye kiti na hurudia hali yake ya kawaida.
 
Kuvimba kwa miguu kuna dalili mbili Dalili ya kwanza ni kukuonyesha unayo maradhi ya moyo aka Maradhi ya Presha au dalili ingine inakuonyesha unayo maradhi ya Figo lako halifanyi kazi vizuri na pia kama unao unene pia unachangia wewe kuvimba kwa miguu yako nenda kapime haraka hospitali ili upate kujuwa unayo maradhi gani na kisha uje hapa utupe mrejesho wako uguwa pole.
 
asante kwa ushauri wako.
sina unene mwili wangu ni wa kawaida tu nina 60kg na 27years,nitaenda kupima
 
Nisaidieni dawa ya kuvimba miguu, nasumbuliwaga sana na tatizo hili nyakati za mchana tu ila nikiamka asubuhi huwa niko sawa ila kadri siku inavyokwenda ndivyo inavyozidi kuvimba, mimi huwa nakaa nainyoonsha mezani au kwenye kiti na hurudia hali yake ya kawaida.

Saiga yane

Tafadhali pita hapa ujielimishe. Ikibidi wasiliana na daktari hewani akusaidie.

Nakutakia kila la heri.
 
Back
Top Bottom