Saiga yane
New Member
- Aug 21, 2016
- 3
- 0
Kuvimba kwa miguu kuna dalili mbili Dalili ya kwanza ni kukuonyesha unayo maradhi ya moyo aka Maradhi ya Presha au dalili ingine inakuonyesha unayo maradhi ya Figo lako halifanyi kazi vizuri na pia kama unao unene pia unachangia wewe kuvimba kwa miguu yako nenda kapime haraka hospitali ili upate kujuwa unayo maradhi gani na kisha uje hapa utupe mrejesho wako uguwa pole.Nisaidieni dawa ya kuvimba miguu, nasumbuliwaga sana na tatizo hili nyakati za mchana tu ila nikiamka asubuhi huwa niko sawa ila kadri siku inavyokwenda ndivyo inavyozidi kuvimba, mimi huwa nakaa nainyoonsha mezani au kwenye kiti na hurudia hali yake ya kawaida.
Nisaidieni dawa ya kuvimba miguu, nasumbuliwaga sana na tatizo hili nyakati za mchana tu ila nikiamka asubuhi huwa niko sawa ila kadri siku inavyokwenda ndivyo inavyozidi kuvimba, mimi huwa nakaa nainyoonsha mezani au kwenye kiti na hurudia hali yake ya kawaida.