Nikikaa muda mrefu nawashwa sana makalio, hii imekaaje?

Engineer wote [emoji115] [emoji115] [emoji115] wamekupa ushauri khs tatizo lako.
Ndy ufanye maandaliza saa hz uende Pharmacy uweze kununua tablets za Minyoo ili mapemaa alfajiri upate kuzitumia.
 
Hata mimi nishawahi kuwa na hill tatizo hadi ikabidi nilete thread JF doctor.
Nilishauriwa nimeze dawa za minyoo na ilisaidia tatizo likaisha kabisa.

Ila pia inatagemea unawashwa sehemu ya haja kubwa au makalio kwa ujumla.
Kama ni sehemu ya haja kubwa ni minyoo.
Kama ni makalio kwa ujumla inatokana na material ya nguo za ndani unazovaa ndio zinapelekea ukikas muda mrefu unawashwa.
Ikiwa tatizo ni hilo badili material yawe ya cotton itasaidia
 
Kuepuka guessworks kama ni kweli una hili tatizo (maana JF unaweza kujipinda kusaidia kumbe... )wahi hospital inawezekana kabisa ni dalili za haemorrhoids
 
We dada ndio ulikuwa ukilalamika mkunduu unakuwasha vipi sasa hivi haukuwashi tena??



https://www.jamiiforums.com/index.php?posts/13660648
 
Hapo kwenye Boxer mzee umenikamata....
Kwa WASTANI navaa Boxer moja kwa cku tano, na napofua nazianika ndani getto zinakauka taratibu...
Kuanika nje aibu Mwanangu....

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
Yarabiiiiiii nguo ya ndani unavaa siku 5?[emoji86] [emoji86] [emoji86]
Wewe ni mchafu kuoza.
Unavyojisifu huku daily uko smart sijui nini huo usmart unaanzia na ndani.
Ptuuuu hadi nimejisikia kichefuchefu.
Sipendi uchafu & wachafu kama nini.
Ukiwa mchafu hata uwe nani nakudharau sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…