😀😀😀😀😀😀😀 Brigedia umeamua kumfumua mgonjwaAfadhari mkuu na wewe umegundua hilo huyu dogo anaonekana ni mchafu sana ,hazingatii usafi wa nguo za ndani si ajabu ukakuta hata kuoga haogi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😀😀😀😀😀😀😀 Brigedia umeamua kumfumua mgonjwaAfadhari mkuu na wewe umegundua hilo huyu dogo anaonekana ni mchafu sana ,hazingatii usafi wa nguo za ndani si ajabu ukakuta hata kuoga haogi
sawasawa mkuu nimekuelewa ila ndo uanaume huo umeonesha ukomavu wa hali ya juu kusema ukweliKuoga naoga bana acha kunishusha hivo..
Sema suala la boxer bana duh.... Changamoto
[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
Dawa za minyoo zinakuhusu tena yako ni sugu
Minyoo ni umri wote,ingawa inakua zaidi kwa watotoAsante..
Lakin c nasikia minyoo inawahusu watoto wadogo tuu mzee....
Sasa mimi ni chief Engineer kabisa...
[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kupatwa kwa muwasho kwa engineer
Ila engineer 'demu' wako si anajua unawashwa?
Usinitukane
Kuepuka guessworks kama ni kweli una hili tatizo (maana JF unaweza kujipinda kusaidia kumbe... )wahi hospital inawezekana kabisa ni dalili za haemorrhoidsNiaje wazeiyaaah...
Mko Bwaxx...
EBANA SAWA :
Bila shaka nimefanya kitu inaitwa Right content into the wrong group..
Just because wengi mko ACTIVE zaidi huku....
Sasa mazee leo sina story za demu wangu wala wanaume wa mikoani...
Tatizo langu binafsi ya kiafya tuu..
Nikikaa muda mrefu chini (kwenye Kiti) nawashwa sana marocker yangu...
Yanawasha mpaka Natamani nivue hadi Boxer nikajiparue parue ukutani...
Hii imekaaje.. Kuna mwingine huwa anawashwa makalio kama mimi au nitakua na tatizo mazee....
Yaan Nikikaa kama nusu saa na kuendelea chini Matakko yanaanza kuniwasha kishenz yan...
Mliosomea Medicine jamani...
[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
We dada ndio ulikuwa ukilalamika mkunduu unakuwasha vipi sasa hivi haukuwashi tena??Hata mimi nishawahi kuwa na hill tatizo hadi ikabidi nilete thread JF doctor.
Nilishauriwa nimeze dawa za minyoo na ilisaidia tatizo likaisha kabisa.
Ila pia inatagemea unawashwa sehemu ya haja kubwa au makalio kwa ujumla.
Kama ni sehemu ya haja kubwa ni minyoo.
Kama ni makalio kwa ujumla inatokana na material ya nguo za ndani unazovaa ndio zinapelekea ukikas muda mrefu unawashwa.
Ikiwa tatizo ni hilo badili material yawe ya cotton itasaidia
Yarabiiiiiii nguo ya ndani unavaa siku 5?[emoji86] [emoji86] [emoji86]Hapo kwenye Boxer mzee umenikamata....
Kwa WASTANI navaa Boxer moja kwa cku tano, na napofua nazianika ndani getto zinakauka taratibu...
Kuanika nje aibu Mwanangu....
[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
hapana badili kila siku boxer n.a. ukizifua anika zikauke n.a. upige pasHapo kwenye Boxer mzee umenikamata....
Kwa WASTANI navaa Boxer moja kwa cku tano, na napofua nazianika ndani getto zinakauka taratibu...
Kuanika nje aibu Mwanangu....
[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
Ha,haaa....Hapo kwenye Boxer mzee umenikamata....
Kwa WASTANI navaa Boxer moja kwa cku tano, na napofua nazianika ndani getto zinakauka taratibu...
Kuanika nje aibu Mwanangu....
[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
Waweza ukawa na fungas
Afadhari mkuu na wewe umegundua hilo huyu dogo anaonekana ni mchafu sana ,hazingatii usafi wa nguo za ndani si ajabu ukakuta hata kuoga haogi
= fungus