Teh teh, watu hawachoki kunishangaza...Wengine wanazamisha mkono eti!!
Kuna baba mmoja nilimfuma amezamisha mkono halafu hana habari kama namuangalia...comfortable kabisa bila wasiwasi.
Nikajisemea.. Sio ajabu ukute biashara zake ni za vyakula.. Ptyuu.
Ha,haaa....
Chief leo umekamatika, utasema yoote.
Wacha uchochezi Mkuu, ukisema watu waache kula kitimoto kisa kuepuka Minyoo, basi waambie wasile hata nyama ya Ng'ombe.Punguza kitimoto mkuu, una minyoo iliyotoka kwenye kitimoto isiyoivishwa
hapo umenena, afue boxer pia awe annyoa manyoya mara kwa mara abakie na kipara mda wote.Pia uwe unafua boxer zako.na ukifua uhakikishe zinakauka
Nikununulie boxer tano hili kila siku hubadili? .Pili utakuwa una minyoo jitahidi umwone Daktari.Hapo kwenye Boxer mzee umenikamata....
Kwa WASTANI navaa Boxer moja kwa cku tano, na napofua nazianika ndani getto zinakauka taratibu...
Kuanika nje aibu Mwanangu....
[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
Unavaa nguomza ndani mbichi, yaani hazijakauka vizuri,Niaje wazeiyaaah...
Mko Bwaxx...
EBANA SAWA :
Bila shaka nimefanya kitu inaitwa Right content into the wrong group..
Just because wengi mko ACTIVE zaidi huku....
Sasa mazee leo sina story za demu wangu wala wanaume wa mikoani...
Tatizo langu binafsi ya kiafya tuu..
Nikikaa muda mrefu chini (kwenye Kiti) nawashwa sana marocker yangu...
Yanawasha mpaka Natamani nivue hadi Boxer nikajiparue parue ukutani...
Hii imekaaje.. Kuna mwingine huwa anawashwa makalio kama mimi au nitakua na tatizo mazee....
Yaan Nikikaa kama nusu saa na kuendelea chini Matakko yanaanza kuniwasha kishenz yan...
Mliosomea Medicine jamani...
[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
Na leo hulali?
Utakesha unaniwaza?
Pole zikufikie.
Dawa ya homa ya Ngabu itapatikana muda si mrefu.
Ex-Tabora boys student, are you? The way you call the buttocks hahaaa pole ndugu
Mbona boss umemtetea sana na umejuaje juaje yeye hafanyi kama wenzake!!!?halafu akifua anaanika mvunguni anasubiria ikaauke anaivaa mbichi maengineer watu wa ajabu sana isipokuwa boss wangu
Nyie ndio mnavaa boxer mwezi mmoja bila kufua?
hivi huoni aibu kusema unavaa boxer week! wewe mchafu sio mchezo yaani wewe na huyo demu wakoMwanangu umezidisha hapo...
Navaaga kama week hivi nabadilisha....
Si unajua mzee bize na utafutaji.... Pesa.
[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
dawa zipi mfano mkuu?Inaonyesha Engineer amekaa muda mrefu bila kutumia dawa za minyoo. Kila baada ya 3 months muhimu sana kutumia dawa za minyoo especially kwa watoto.
Mkuu kapime minyoo au kaswende japo kaswende kuigundua ni vigumu mpaka uchunguze historia vizuri
Tumia Albendazole....zipo nyingi tu kwenye maduka ya dawa za binadamu. Ukitumia hakisha unatumia tumbo lako kiliwa empty. Asubuhi mapema hujala kitu chochote "unamumunya" kama pipi unasubiri baada ya saa 2 ndiyo unapata break fast yako. Pia usinywe maziwa ni antidote....usinywe maziwa au kitu chochote kilokichochanganywa na maziwa kwa siku 2 ili dawa ifanye kazi vizuri.dawa zipi mfano mkuu?