Niaje wazeiyaaah...
Mko Bwaxx...
EBANA SAWA :
Bila shaka nimefanya kitu inaitwa Right content into the wrong group..
Just because wengi mko ACTIVE zaidi huku....
Sasa mazee leo sina story za demu wangu wala wanaume wa mikoani...
Tatizo langu binafsi ya kiafya tuu..
Nikikaa muda mrefu chini (kwenye Kiti) nawashwa sana marocker yangu...
Yanawasha mpaka Natamani nivue hadi Boxer nikajiparue parue ukutani...
Hii imekaaje.. Kuna mwingine huwa anawashwa makalio kama mimi au nitakua na tatizo mazee....
Yaan Nikikaa kama nusu saa na kuendelea chini Matakko yanaanza kuniwasha kishenz yan...
Mliosomea Medicine jamani...
[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng