Padri Mcharo
JF-Expert Member
- Feb 28, 2015
- 1,899
- 3,688
- Thread starter
-
- #81
Punguza kitimoto mkuu, una minyoo iliyotoka kwenye kitimoto isiyoivishwa
hii couple ya kishamba sana .vyupi hata buku unapata .wao wanashindia chupi moja week? shame on them nimewachukia bure.Labda stretch marks znakuwasha.
Ila mwanamke wako, hakupendi boxer week au na yeye engineer? Lkn mbona maengineer wasafi siku hizi? Huenda nayo ni sababu ya kuwashwa kwako.
Mtoa mada mbona swali lako umeulizia uwanja wa mapenzi, pia mbona kiswahili chako sio kizuri...
Kwa taratibu hizo hapo juu ni shida mtu kukusaidia inaonekana kama unaleta mzaha.
Kama ni kweli tatizo lako linaweza kuwa ni
1) Minyoo-Kwa kuanzia tumia dawa inaitwa zentel tablets kwa siku tatu mfululizo.
2)Fungus-Angalia kama unawasha hadi chini ya mapumbu au ni kwenye tundu la haja kubwa tu-kama ni hadi chini ya pumbu kuna uwezekano mkubwa ni fungus,jaribu dawa inaitwa dactarin cream.
Pia ongeza usafi piga pasi boxer zako zote na ukifua anika nje
sante mkuuu, ngoja nami nijalibuTumia Albendazole....zipo nyingi tu kwenye maduka ya dawa za binadamu. Ukitumia hakisha unatumia tumbo lako kiliwa empty. Asubuhi mapema hujala kitu chochote "unamumunya" kama pipi unasubiri baada ya saa 2 ndiyo unapata break fast yako. Pia usinywe maziwa ni antidote....usinywe maziwa au kitu chochote kilokichochanganywa na maziwa kwa siku 2 ili dawa ifanye kazi vizuri.
Mbona boss umemtetea sana na umejuaje juaje yeye hafanyi kama wenzake!!!?
unashindwa kununu hata dozen ya boxer za buku mbili kwa mchina uvae moja kila siku ufue zote wkend asubui uanike kwenye kamba zikauke vizuri.
acha ufala wewe
Mkuu,nilikuwa na tatizo km lako,nikabadili boxer za kubana na kuanza kutumia boxer kubwa zisizobana,zipo km bukta.tena ziwe za cotton zisiwe za polyester. Hii inaweza ikakusaidia km huna tatizo lingine la kiafya mkuu. Jaribu,pengine inaweza kukusaidia.Niaje wazeiyaaah...
Mko Bwaxx...
EBANA SAWA :
Bila shaka nimefanya kitu inaitwa Right content into the wrong group..
Just because wengi mko ACTIVE zaidi huku....
Sasa mazee leo sina story za demu wangu wala wanaume wa mikoani...
Tatizo langu binafsi ya kiafya tuu..
Nikikaa muda mrefu chini (kwenye Kiti) nawashwa sana marocker yangu...
Yanawasha mpaka Natamani nivue hadi Boxer nikajiparue parue ukutani...
Hii imekaaje.. Kuna mwingine huwa anawashwa makalio kama mimi au nitakua na tatizo mazee....
Yaan Nikikaa kama nusu saa na kuendelea chini Matakko yanaanza kuniwasha kishenz yan...
Mliosomea Medicine jamani...
[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
Good.....inaweza ikamsaidia km hana tatizo lingine la kiafyaVaa boksa zenye material ya cotton
Mimi nilikuelewa, ulitakiwa utoe hatua ya tiba uliyofikia.Na wewe nae acha UBOYA sasa!!
Reason nimetoa kwann nimekimbilia huku na kuacha kule JF doctor...
Mbona ulianza vizuri halafu sasa hivi unaanza kuwa na akili za Umbunyenye mzee....
Nawashwa makalio sio mkunndu...
[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
Mimi nilikuelewa, ulitakiwa utoe hatua ya tiba uliyofikia.
Je umeenda hosp. au bado?
Una mpango wa kwenda ama hapana?
Hapa jukwaani ni sehemu nzuri kwa ushauri na siyo tiba.
Ukifuata kila unachoambiwa hapa hasa kwenye mambo sensitive kama afya ni hatari.
We chukua ushauri lakini hatua ya mwisho iwe tiba ya Doctor.
Mimi nasema pole sana Mkuu, ukipona leta uzi wa mrejesho.
Kama hii ni kweli wallaih hao worms kwangu watakua washafikia population ya china + india. I think nina 20+ yrs sijawahi kunywa dawa za minyoo. Na sizijui hata moja kwa majina tu.Inaonyesha Engineer amekaa muda mrefu bila kutumia dawa za minyoo. Kila baada ya 3 months muhimu sana kutumia dawa za minyoo especially kwa watoto.
sure.. tatizo sio minyoo ni boxer, boxer zinazovutika kama mpira ni kwere asee mi pia huwa zinaleta muwasho kwenye wezere ila hizi boxer za cotton zenye vidrafti drafti ziko poa sana sijawahi kupata muwasho kabisa. Namshauri asiwe anavaa boxer zinazovutika kama mpira.Vaa boksa zenye material ya cotton
Mara ya mwisho kufua boksa lini engineer itakuwa chawa hao
sure.. tatizo sio minyoo ni boxer, boxer zinazovutika kama mpira ni kwere asee mi pia huwa zinaleta muwasho kwenye wezere ila hizi boxer za cotton zenye vidrafti drafti ziko poa sana sijawahi kupata muwasho kabisa. Namshauri asiwe anavaa boxer zinazovutika kama mpira.
P ikidinda ingiza mkono mfukoni halafu iminye.KWELI mkuu boxer zangu zote ni hizi zinabana za mpira...
Tatizo la hizo zingine mzee zinapwaya kishenz, yaan P inakua ina hang freely kiasi kwamba unapodindisha kwenye kadamnasi lazima kitu kichomoze.... Ndio Maana nikazipiga chini kitambo....
Au we unasemaje kuhusu suala la kudindisha vs boxer za draft....
[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng