Mtoa mada mbona swali lako umeulizia uwanja wa mapenzi, pia mbona kiswahili chako sio kizuri...
Kwa taratibu hizo hapo juu ni shida mtu kukusaidia inaonekana kama unaleta mzaha.
Kama ni kweli tatizo lako linaweza kuwa ni
1) Minyoo-Kwa kuanzia tumia dawa inaitwa zentel tablets kwa siku tatu mfululizo.
2)Fungus-Angalia kama unawasha hadi chini ya mapumbu au ni kwenye tundu la haja kubwa tu-kama ni hadi chini ya pumbu kuna uwezekano mkubwa ni fungus,jaribu dawa inaitwa dactarin cream.
Pia ongeza usafi piga pasi boxer zako zote na ukifua anika nje