Nikikaa muda mrefu nawashwa sana makalio, hii imekaaje?

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Nifah huo sio uchafu hicho ni kipaji
 
wanaume wengi huwa hatupaki mafuta kwa makalio[emoji1] [emoji1]
 
Chief Engineer hapaki mafuta kwa makalio,sipati picha wakati unamvulia dem wako boxerπŸ˜›

Kwani anayaona????
Kabla cjavua huwa nahakikisha ameshalegea na kuloana kabisa hajitambui....


Mpaka leo ukimwambia DUSHE langu linafananaje hajui....

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
 
Kwani anayaona????
Kabla cjavua huwa nahakikisha ameshalegea na kuloana kabisa hajitambui....


Mpaka leo ukimwambia DUSHE langu linafananaje hajui....

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
Aaaha...chief..
Huo ni uchoyo sasa, utavaaje boxer wakat kila mmoja anatakiwa amfaidi mwenzie??
Inavyoelekea gem lako halinogi
 
ukitoka chooni hasa haja kubwa jifute vizuri na taulo, ukiacha maji maji baadae yanatengeneza muwasho wa aina hiyo
 
Hapo kinachowasha sio makalio bali ni jicho pori na hii hutokana sana na minyoo kuzaliana kwa wingi hvyo mayai yanapotaka kutoka nje ya mwili hu release itching chemical itakayomfanya muathirika kujikuna na kusaidia kutoa nje mayai ya minyoo hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…