Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Nifah huo sio uchafu hicho ni kipajiYarabiiiiiii nguo ya ndani unavaa siku 5?[emoji86] [emoji86] [emoji86]
Wewe ni mchafu kuoza.
Unavyojisifu huku daily uko smart sijui nini huo usmart unaanzia na ndani.
Ptuuuu hadi nimejisikia kichefuchefu.
Sipendi uchafu & wachafu kama nini.
Ukiwa mchafu hata uwe nani nakudharau sana.