Mpigadili Tz
JF-Expert Member
- May 4, 2015
- 1,093
- 2,046
Ni hivii yaani nikikaa muda mrefu kama masaa 6 bila kunywa Maji baada ya kula alafu nikanywa Maji hua natoka na jasho sana, na Jasho hutoka kama sekunde 30 baada ya kunywa MajiSjaelewa
Hahahah Mzee nasubiri MweI ujao niende kila baada ya muda naenda kuangalia mwenendo wa afya yangu kuijumla si Ngoma pekeeDaaaa pole sana ndugu..Dalili ya ngoma.Nenda kapime uwahi vidonge.
Yeah swali zuri, nina vidonda vya Tumbo nikila alafu nikinywa Maji muda huo huo najisikia kutapika hadi kero ndo maana namuaga nikae muda mrefuKwa nn uwe na kiu alafu ukaeee tuuu mpaka saa 6 ?. Ukiwa na kiu kunywa maji acha kutesa mwili.
Pole sana, ni vizuri kuanza kutibu kimoja baada ya kingine. Inaonekana hofu ya kutapika pia inaleta tension ukiwa unakunywa maji kuogopa kutapika. Ni vizuri uende hospital.Yeah swali zuri, nina vidonda vya Tumbo nikila alafu nikinywa Maji muda huo huo najisikia kutapika hadi kero ndo maana namuaga nikae muda mrefu
Hapo napo umeongea hua nakua na hofu sana wakati wa kunywa Maji maana kero sana, si unajua ukihisi kutapika alafu hutapiki kero yakePole sana, ni vizuri kuanza kutibu kimoja baada ya kingine. Inaonekana hofu ya kutapika pia inaleta tension ukiwa unakunywa maji kuogopa kutapika. Ni vizuri uende hospital.
Kweli!!!Ni njia mojawapo ya mwili kujipooza kutokana na joto sioni tatizo hapo!!
Basi nenda hospitalHapo napo umeongea hua nakua na hofu sana wakati wa kunywa Maji maana kero sana, si unajua ukihisi kutapika alafu hutapiki kero yake
Aisee Mm mwenyewe sijui Cha msingi we nenda hospital wengine tumeshazoea spana tutakujibu hapo ni rejeta ni mbovu !!Kweli!!!