Nikikaa na kiu kwa muda mrefu mfano kama masaa 6 alafu nikinywa Maji natokwa na Jasho

Nikikaa na kiu kwa muda mrefu mfano kama masaa 6 alafu nikinywa Maji natokwa na Jasho

Mpigadili Tz

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2015
Posts
1,093
Reaction score
2,046
Habari Wakuu, naombeni kuuliza nini tatizo nikikaa na kiu kwa muda mrefu mfano kama masaa 6 alafu nikinywa Maji natokwa na Jasho sana baada ya kumaliza kunywa Maji nikikaa kama sekunde 30 baada ya kunywa Maji, sasa tatizo ni nini?
 
Ni hivii yaani nikikaa muda mrefu kama masaa 6 bila kunywa Maji baada ya kula alafu nikanywa Maji hua natoka na jasho sana, na Jasho hutoka kama sekunde 30 baada ya kunywa Maji
 
Daaaa pole sana ndugu..Dalili ya ngoma.Nenda kapime uwahi vidonge.
Hahahah Mzee nasubiri MweI ujao niende kila baada ya muda naenda kuangalia mwenendo wa afya yangu kuijumla si Ngoma pekee
 
Kwa nn uwe na kiu alafu ukaeee tuuu mpaka saa 6 ?. Ukiwa na kiu kunywa maji acha kutesa mwili.
Yeah swali zuri, nina vidonda vya Tumbo nikila alafu nikinywa Maji muda huo huo najisikia kutapika hadi kero ndo maana namuaga nikae muda mrefu
 
Yeah swali zuri, nina vidonda vya Tumbo nikila alafu nikinywa Maji muda huo huo najisikia kutapika hadi kero ndo maana namuaga nikae muda mrefu
Pole sana, ni vizuri kuanza kutibu kimoja baada ya kingine. Inaonekana hofu ya kutapika pia inaleta tension ukiwa unakunywa maji kuogopa kutapika. Ni vizuri uende hospital.
 
Pole sana, ni vizuri kuanza kutibu kimoja baada ya kingine. Inaonekana hofu ya kutapika pia inaleta tension ukiwa unakunywa maji kuogopa kutapika. Ni vizuri uende hospital.
Hapo napo umeongea hua nakua na hofu sana wakati wa kunywa Maji maana kero sana, si unajua ukihisi kutapika alafu hutapiki kero yake
 
Hahahah nimependa U-TURN yako ila nitafanyia kazi
 
Back
Top Bottom