Nikikopa milioni 5 benki marejesho yanakuwaje?

Nikikopa milioni 5 benki marejesho yanakuwaje?

Kilaga jr

New Member
Joined
Apr 27, 2021
Posts
2
Reaction score
0
Habari zenu ndugu,

Naombeni mnisaidie kama ukikopa milion tano bank utakuwa unarudisha kiasi gani na kwa muda gani?
 
Marejesho (makato ya mwezi) yanategemea huo mkopo utauchukua kwa muda gani na riba ya mkopo huo itakuwa kiasi gani?
 
Mfano: NMB ukichukua iyo pesa kwa Miaka 3 utalipa 115,000/= kwa mwezi.

Hadi mkopo kuisha utakuwa umewapa jumla ya Shilingi Mil 7.8 kwahiyo watakua wamekudhurumu Mil 2.8.
Watakuwa wamekudhurumu mil 2.8. Haha haaa noma sana hii
 
Hivi hizi benk hawawezi kukupa mkopo bila kuwa na dhamana?
Mfano: NMB ukichukua iyo pesa kwa Miaka 3 utalipa 115,000/= kwa mwezi.

Hadi mkopo kuisha utakuwa umewapa jumla ya Shilingi Mil 7.8 kwahiyo watakua wamekudhurumu Mil 2.8.
 
Habar zenu ndugu nomben mnisaidie kama ukikopa milion tano bank utakuwa unarudisha kias gani na kwa muda gani
inategemea aina ya mkopo na muda wa kurejesha.
ukikopa milioni tano nmb bank , mkopo wa biashara kwa muda wa mwaka mmoja unarejesha shilingi 473,000 kwa mwezi.

hivyo hadi mwisho wa mkopo unarejesha jumla shilingi 5,676,000
Cha msingi ukope kwa lengo la biashara ambayo umeipigia mahesabu vizuri
Na hiyo biashara iwe inakupa faida kwa mwezi angalau mara mbili ya hilo rejesho
vinginevyo itakula kwako
 
Mfano: NMB ukichukua iyo pesa kwa Miaka 3 utalipa 115,000/= kwa mwezi.

Hadi mkopo kuisha utakuwa umewapa jumla ya Shilingi Mil 7.8 kwahiyo watakua wamekudhurumu Mil 2.8.
Duu i see
 
Mfano: NMB ukichukua iyo pesa kwa Miaka 3 utalipa 115,000/= kwa mwezi.

Hadi mkopo kuisha utakuwa umewapa jumla ya Shilingi Mil 7.8 kwahiyo watakua wamekudhurumu Mil 2.8.

Ukiwa na akili timamu ndani ya miaka 3 kwa mtaji wa milioni 5 unaweza kutengeneza faida ya milioni 10,ukitoa hiyo 2.8 bado unabaki na fungu la kutosha
 
Back
Top Bottom