Nikikopa milioni 6 riba ya kulipa hilo deni kwa mwaka mmoja itakuaje? Nia yangu kwenda kusoma Masters nje

Mkuu hyo n wrtng style ya ujana tu, pia swali lako general maana humu kila mtu anatumia bank yake na zpo nyng hzo bank kwahyo nataka kila mtu achangie kwa experience ya bank anayotumia sjataka kuwa specific maana ntakosa maon meng ya msng
Bwana mdogo huwezi jibu Kila mtu, let them speak, but to cut the story ni kwamba kama unachukua NMB, Kuna loan calculator...nenda google andika NMB loan calculator uta adjust kulingana na mahitaji yako, the same Kwa CRDB, NBC,....I wish you the best.
 
Asant hi ndo reply ya mwsho uz ufutwe
 
Unaenda kutafuta umasikini na limasters lako la mkopo! Unauhakika gani wa return kama utaweza kulipa mkopo??
 
Mkuu hyo n wrtng style ya ujana tu, pia swali lako general maana humu kila mtu anatumia bank yake na zpo nyng hzo bank kwahyo nataka kila mtu achangie kwa experience ya bank anayotumia sjataka kuwa specific maana ntakosa maon meng ya msng
Vizuri sana mkuu. Sasa kwa namna ulivyoandika si rahisi mtu ajue unaulizia uzoefu wake na unataka ushauri wa benki gani utumie. Hujawa specific. Sijakopa benki ila Absa walikuwa na mkopo wa riba nafuu. Ngoja waje wazoefu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…