sanalii JF-Expert Member Joined Oct 1, 2018 Posts 1,639 Reaction score 5,767 Nov 11, 2019 #1 Yaani zinakuwa juu kabisa, mtu anaweza hata kukohoa nikahisi anapiga kelele. Naona vurugu vurugu tu.
Neylu JF-Expert Member Joined May 28, 2012 Posts 2,938 Reaction score 1,844 Nov 11, 2019 #2 Heheheheeee. Hauko poke yako ndugu yangu. Hawakukosea waliosema pesa ni sabuni ya roho.
mulwanaka JF-Expert Member Joined Feb 19, 2017 Posts 5,262 Reaction score 12,855 Nov 11, 2019 #3 @sanalii,Hujazoea kufanya biashara, unapewaga tu, ndo maana mfanya biashara kukosa pesa ni sehemu ya maisha na nikawaida sanaa
@sanalii,Hujazoea kufanya biashara, unapewaga tu, ndo maana mfanya biashara kukosa pesa ni sehemu ya maisha na nikawaida sanaa
Mbaga Jr JF-Expert Member Joined May 28, 2018 Posts 29,028 Reaction score 69,666 Nov 11, 2019 #4 hua nikiwa chuo, kupiga pasi ndefu ni kawaida yangu. naweza hata mtukana mtu afu ukilinganisha na kosa alilonifanyia yn mpaka najishangaa mwnyw.
hua nikiwa chuo, kupiga pasi ndefu ni kawaida yangu. naweza hata mtukana mtu afu ukilinganisha na kosa alilonifanyia yn mpaka najishangaa mwnyw.
Ushimen JF-Expert Member Joined Oct 24, 2012 Posts 40,828 Reaction score 99,523 Nov 11, 2019 #5 sanalii, Mkuu, ebu fafanua kidogo... Yaani wewe ukikosa pesa maana yake unashilingi kuanzia ngapi/hauna kabisa ama vipi..?? Maana kuna wengine akibaki na 100,000 hapo ndio kwanza anapata hadi homa kwamba hana pesa kabisa
sanalii, Mkuu, ebu fafanua kidogo... Yaani wewe ukikosa pesa maana yake unashilingi kuanzia ngapi/hauna kabisa ama vipi..?? Maana kuna wengine akibaki na 100,000 hapo ndio kwanza anapata hadi homa kwamba hana pesa kabisa
sanalii JF-Expert Member Joined Oct 1, 2018 Posts 1,639 Reaction score 5,767 Nov 11, 2019 Thread starter #6 Ushimen, inategemea na circumstance, hadi sasa Akiba yangu ni 20,000
jang JF-Expert Member Joined Jul 31, 2014 Posts 1,415 Reaction score 1,186 Nov 11, 2019 #7 Nadhani ni normal situation kwa wanaume wengi
Noel Ngiama Makanda JF-Expert Member Joined Oct 14, 2018 Posts 1,782 Reaction score 3,103 Nov 12, 2019 #8 Nikiwa sina hela hata confo linapotea, naweza kimbia hata mwaliko
N njinjo JF-Expert Member Joined Feb 15, 2019 Posts 4,001 Reaction score 5,374 Nov 12, 2019 #9 mulwanaka said: Hujazoea kufanya biashara, unapewaga tu, ndo maana mfanya biashara kukosa pesa ni sehemu ya maisha na nikawaida sanaa Click to expand... Kuna wakati bank inasoma - (overdraft) lakini maisha yanasonga!
mulwanaka said: Hujazoea kufanya biashara, unapewaga tu, ndo maana mfanya biashara kukosa pesa ni sehemu ya maisha na nikawaida sanaa Click to expand... Kuna wakati bank inasoma - (overdraft) lakini maisha yanasonga!
Tansy JF-Expert Member Joined Apr 19, 2018 Posts 3,946 Reaction score 8,949 Nov 12, 2019 #10 Mm nakuwa na huzuni tu .
NEVADA JF-Expert Member Joined Oct 15, 2017 Posts 458 Reaction score 940 Nov 12, 2019 #11 Utafanikiwa sana . Inaonekana unauchukia ufukara
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Nov 12, 2019 #12 Pole sana... Cc: mahondaw
Phdum JF-Expert Member Joined Apr 15, 2019 Posts 1,322 Reaction score 3,278 Nov 12, 2019 #13 Asee mimi ni muongeaji sana ila nikiwa sina hata buku mfukoni nakuwa mpole na natia huruma hatari.