Hii tabia ya kuchangishana harusi sijui watu weusi tutaicha lini.
Sijawahi sikia muarabu/muhindi/mzungu akichangisha sababu ya harusi. Na wengi wao hushangaa pale mtu mweusi anapotoa kadi ya kuomba mchango wa harusi.
Ifikie wakati tufanye kilicho ndani ya uwezo wetu. Sio lazima wote tuwe na harusi za kifahari ikiwa ni makapuku.
Raha moja ya waislam, ni kuwa na harusi simple sana. Ukiamua ni kuita watu wachache, maandazi na chai ndoa inafungwa na maisha yanaendelea.
Wazungu wanachanga kistarabu huwa wanafanya party munaailkwa party unaachia envolope yako na jina lako ambayo ndani muna pesa so wanayo michango yao.Hii tabia ya kuchangishana harusi sijui watu weusi tutaicha lini.
Sijawahi sikia muarabu/muhindi/mzungu akichangisha sababu ya harusi. Na wengi wao hushangaa pale mtu mweusi anapotoa kadi ya kuomba mchango wa harusi.
Ifikie wakati tufanye kilicho ndani ya uwezo wetu. Sio lazima wote tuwe na harusi za kifahari ikiwa ni makapuku.
Raha moja ya waislam, ni kuwa na harusi simple sana. Ukiamua ni kuita watu wachache, maandazi na chai ndoa inafungwa na maisha yanaendelea.
Hukuna huo upuuzi kule wenzetu watakuletea zawadi tu. Huku Mtu anaandaa sherehe ya mil 15 afu yeye ana mil 2 sasa huo si uchizi.Wanachangisha vizuri tu. Jua class ipo sehemu zote kuna mwarabu,muhindi,mzungu maskini pia
Kule wenzetu sherehe inaandaliwa na familia na ndugu wa karibu tu marafiki na majirani mnaalikwa tu kama una zawadi yako ndio unaeenda kumpe mwana ndoa.Wanachangisha vizuri tu. Jua class ipo sehemu zote kuna mwarabu,muhindi,mzungu maskini pia
Kama kipato cha hapa na pale utakula maandazi tu. Usiukaze msuli wakati upaja mdogo.Hii tabia ya kuchangishana harusi sijui watu weusi tutaicha lini.
Sijawahi sikia muarabu/muhindi/mzungu akichangisha sababu ya harusi. Na wengi wao hushangaa pale mtu mweusi anapotoa kadi ya kuomba mchango wa harusi.
Ifikie wakati tufanye kilicho ndani ya uwezo wetu. Sio lazima wote tuwe na harusi za kifahari ikiwa ni makapuku.
Raha moja ya waislam, ni kuwa na harusi simple sana. Ukiamua ni kuita watu wachache, maandazi na chai ndoa inafungwa na maisha yanaendelea.
Kwani disco hukoLaki halafu harusi nzima hamna single ladies nao ni Utapeli
Namba ya Bibi harusiHabari wadau?
Kuna jambo linanikwaza sana. Unakuta mtu ana harusi. Anaomba mchango kama deni vile! Unamchangia mtu laki ukiingia ukumbini mtu unapewa kifungashio cha juice na soda hata elfu kumi haifiki.
Inakuwa tena kama tunampa mtaji bwana harusi. Jipange bwana harusi ndo uombe hela.
Hao ni waislam makapuku angalia harusi ya Binti wa mwinyi kama utaona maandazi na chaiHii tabia ya kuchangishana harusi sijui watu weusi tutaicha lini.
Sijawahi sikia muarabu/muhindi/mzungu akichangisha sababu ya harusi. Na wengi wao hushangaa pale mtu mweusi anapotoa kadi ya kuomba mchango wa harusi.
Ifikie wakati tufanye kilicho ndani ya uwezo wetu. Sio lazima wote tuwe na harusi za kifahari ikiwa ni makapuku.
Raha moja ya waislam, ni kuwa na harusi simple sana. Ukiamua ni kuita watu wachache, maandazi na chai ndoa inafungwa na maisha yanaendelea.
ukinichangia laki mm kamq bwana harusi ntakupa mama mkwe wangu uondoke naye😅🤣😂Habari wadau?
Kuna jambo linanikwaza sana. Unakuta mtu ana harusi. Anaomba mchango kama deni vile! Unamchangia mtu laki ukiingia ukumbini mtu unapewa kifungashio cha juice na soda hata elfu kumi haifiki.
Inakuwa tena kama tunampa mtaji bwana harusi. Jipange bwana harusi ndo uombe hela.
Bora nyie mlikunywa nyingi sana, kuna harusi double 150,000 kuingia ukumbini kitu cha Azam tena ni box 1 la kushare watu 2Umenikumbusha kuna harusi tulienda.
Tulikunywa juice nyingi sana hizi za Ceres hivyo tu yaani.
Tofauti yetu na wao ni kuwa wanachangiana hela kama zawadi na sio kama madeni as how Africans do it!Wanachangisha vizuri tu. Jua class ipo sehemu zote kuna mwarabu,muhindi,mzungu maskini pia
Ushasema mwinyi🤣Hawa
Hao ni waislam makapuku angalia harusi ya Binti wa mwinyi kama utaona maandazi na chai
Ndo maana wanaokunywa chai maandazi ni makapukuUshasema mwinyi🤣