Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 26,961
- 77,890
Ulitoa pesa tsh ngp?Umenikumbusha kuna harusi tulienda.
Tulikunywa juice nyingi sana hizi za Ceres hivyo tu yaani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulitoa pesa tsh ngp?Umenikumbusha kuna harusi tulienda.
Tulikunywa juice nyingi sana hizi za Ceres hivyo tu yaani.
🤣🤣🤣🤣🙌Laki halafu harusi nzima hamna single ladies nao ni Utapeli
Nilijipinda mkuu;Ulitoa pesa tsh ngp?
Live itolewe menu ipoje mtu kama unaridhia kutoa utoeNiwaambie sasa, hizi sherehe nyingi za siku hizi wachawi ni wanakamati. Wao ndo waliosumbua watu kuchanga, wao ndo wasumbuke kuhakikisha tunakuwa satisfied.
Lakini wengi wao wanajipambaniaga wao na familia zao, labda waagize vinywaji kwa meza wanaozijua wao.
Na wabane vingine ili wakavunjie kamati. Ni ujuha usio na mithili na ulimbukeni pro max huu. Mi nashauri wakiomba mchango watutumie na menu list na plan itakuwaje.
Nikienda nijijue nitakunywa juice box 5, nitakula a,b,c,d hivyo yani. Sio haya mabalaa wanafanyia watu ebo!
Harusi unakuta ulichanga double 100k - 150kUmenikumbusha kuna harusi tulienda.
Tulikunywa juice nyingi sana hizi za Ceres hivyo tu yaani.