Niwaambie sasa, hizi sherehe nyingi za siku hizi wachawi ni wanakamati. Wao ndo waliosumbua watu kuchanga, wao ndo wasumbuke kuhakikisha tunakuwa satisfied.
Lakini wengi wao wanajipambaniaga wao na familia zao, labda waagize vinywaji kwa meza wanaozijua wao.
Na wabane vingine ili wakavunjie kamati. Ni ujuha usio na mithili na ulimbukeni pro max huu. Mi nashauri wakiomba mchango watutumie na menu list na plan itakuwaje.
Nikienda nijijue nitakunywa juice box 5, nitakula a,b,c,d hivyo yani. Sio haya mabalaa wanafanyia watu ebo!