mzee wa kasumba
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 1,440
- 2,952
Ntaleta mkuuAmekuelewa ,we nenda ila punguza kasumba usije mkosa,mrejesho muhimuu
Nangoja auone huu uziAtakuwa amekusoma na atakupokea tu mkuu...
Na mm ntakufuta huko PMAmekuelewa ,we nenda ila punguza kasumba usije mkosa,mrejesho muhimuu
Hahaaa,salamu tuma tu hapa hapa ntamfikishia muhusika , morning!Na mm ntakufuta huko PM
Nataka kutuma salam[emoji16]
TehUnahitaji nauli????????
Unahitaji nauli????????
Heri unisaidieMaswali gani unauliza Dada embu mpokee mzee wa kasumba huko piemu anakuja
Hahaaa,salamu tuma tu hapa hapa ntamfikishia muhusika , morning!
Yani afunge safari Nyingine wakati tayari hapa tushonana, namuonea huruma atachoka sana[emoji1] [emoji1]Acha kumfanyia ukatili mwenzio mruhusu aje
DuuhJf ni kichaka unaweza tongoza kidume mwenzio humu
Aisee