mzee wa kasumba
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 1,440
- 2,952
Uzalendo umenishinda mzee wa kasumba na nimeamua kudhihirisha kasumba zangu. Kuna dada mmoja maarufu Sana hapa JF, kiukweli nimetokea kuvutiwa nae Sana.
Nimeona Bora nimfuate huko wanakokuita PM niende Nikammwagie sera zangu. Kuliko kufa na duku duku hili.
Ewe dada yangu
"Nikikufata PM tafadhali nipokee..
mzee wa kasumba
Nimeona Bora nimfuate huko wanakokuita PM niende Nikammwagie sera zangu. Kuliko kufa na duku duku hili.
Ewe dada yangu
"Nikikufata PM tafadhali nipokee..
mzee wa kasumba