Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona cheko jamaniHahahahahahahaha
nikufate na mimi pm?Amekuelewa ,we nenda ila punguza kasumba usije mkosa,mrejesho muhimuu
Na mm naomba unipokeeSafari njema mkuu!
Nakuombea mfikie makubaliano mema
Karibu mkuuNa mm naomba unipokee
asante sana, acha leo nije kuitembeleaHahahahaha
Siti yako ipo... sikuisogeza wala
Karibu sana jamani!asante sana, acha leo nije kuitembelea
Ahaaa, nimuite aone tabia hii mbaya ya kuomba kufata watu pm?[emoji1]nikufate na mimi pm?
Ni wewe nini hadi pm umefunga?
hapana hapana usimuite,Ahaaa, nimuite aone tabia hii mbaya ya kuomba kufata watu pm?[emoji1]
Hahaaa, umekua mpolee ntamuita Mimi ohooo, salamu mpaka pm jamani duh[emoji1] [emoji1] ,habari ya J'pili lakini,hamjambo hukoo!hapana hapana usimuite,
lakini si kwenda kusalimia tu huko pm...ni vibaya?
umenifanya nimekuwa mpole,Hahaaa, umekua mpolee ntamuita Mimi ohooo, salamu mpaka pm jamani duh[emoji1] [emoji1] ,habari ya J'pili lakini,hamjambo hukoo!
Nimefurahi tuMbona cheko jamani
Mi niko poa kabisa Mr Miller,haya muwe na siku njemaaumenifanya nimekuwa mpole,
pm si ndio tunasalimiana kwa urefu.....j'pili ni njema hatujambo sisi, habari yako financial services
Nko hpa Pm nakusubir urud twend woteHahaaa,salamu tuma tu hapa hapa ntamfikishia muhusika , morning!
Pm yako iko wazi ?Amekuelewa ,we nenda ila punguza kasumba usije mkosa,mrejesho muhimuu