Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nchi nzima? How? Mbona sijawahi kwenda? Na wewe kwa nini ulikua unaenda na leo unashangaa?Nchi hii tumetoka mbali sana na it is as if tulikuwa washamba nchi nzima mpaka kenya walikuwa wanatucheka.
Nchi imetoka mbali hii.
Ppp ilipasw kufanya kazi siyo serikali. Kwani ndege hatukuwa nazo? Precision air zililuwepo nk ila ndo hivyo tuliongozwa na mshamba mmoja hiviAcha unafiki hizo ndege ndo tunapanda kwenda nazo nje
Siku hizi mnakusanyika kumpokea Tundu Antipas Lisu kila atokapo kusalimia family Marekani 🐼😂Nchi hii tumetoka mbali sana na it is as if tulikuwa washamba nchi nzima mpaka kenya walikuwa wanatucheka.
Nchi imetoka mbali hii.
Being 787, Airbus TC ... Labda kama unaziona hewani ujapanda ndege weweSasa hivi ndege alizonunua jiwe zote zimekufa, zinazotembea ni zile zilinunuliwa awamu ya 6
Habari za narumu na kiraeni!?Being 787, Airbus TC ... Labda kama unaziona hewani ujapanda ndege wewe
Anyway shida ni umasikin wa fikra ulio nao😂
Tena mpaka tulikuwa tunaziombea kabisa na TEC waliufyata kwake.Being 787, Airbus TC ... Labda kama unaziona hewani ujapanda ndege wewe
Anyway shida ni umasikin wa fikra ulio nao😂
UgeniTena mpaka tulikuwa tunaziombea kabisa na TEC waliufyata kwake.
Ushamba na Ujinga ndo kwanza umedizi!Nchi hii tumetoka mbali sana na it is as if tulikuwa washamba nchi nzima mpaka Kenya walikuwa wanatucheka.
Nchi imetoka mbali hii.
Ingekuwa hata mama kila anachonunua au kujenga anapiga promo zile hii nchi ingekuwa ya masela.
Umeandika ujinga na bila shaka na wewe ni mjinga kabisa. Sina shaka ni mjinga kabisa. Ndiyo ni mjinga mno. Wajinga mpo wengiNchi hii tumetoka mbali sana na it is as if tulikuwa washamba nchi nzima mpaka Kenya walikuwa wanatucheka.
Nchi imetoka mbali hii.
Ingekuwa hata mama kila anachonunua au kujenga anapiga promo zile hii nchi ingekuwa ya masela.
Kwani nyie si mpaka leo hii kila anunuae gari analipamba kwa maua!Nchi hii tumetoka mbali sana na it is as if tulikuwa washamba nchi nzima mpaka Kenya walikuwa wanatucheka.
Nchi imetoka mbali hii.
Ingekuwa hata mama kila anachonunua au kujenga anapiga promo zile hii nchi ingekuwa ya masela.
Acha upumbavuSasa hivi ndege alizonunua jiwe zote zimekufa, zinazotembea ni zile zilinunuliwa awamu ya 6