Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Kwakweli mshamba wewe!! Hivi unadanganywaje na maneno hadi unatoa hela???
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama kadanganya na yeye hapo kweli kaniokotaMjini hakuna mjanja kama apa wewe ameshakudanganya kwa maneno umeamini kama kweli alitapeliwa
Hivi huwa haiwezekani kuwashitaki hawa jamaa ?Pole sana. Laki tatu si mchezooo. Ila wabongo tunapenda pesa za ulainiiiii. Ukajiandaa na Passport kabisaaa. Dah! Pole shujaa
Hivi huwa haiwezekani kuwashitaki hawa jamaa ?Mjini hakuna mjanja kama apa wewe ameshakudanganya kwa maneno umeamini kama kweli alitapeliwa
Hivi huwa haiwezekani kuwashitaki hawa jamaa ?Kuna msela wangu kaingizwa kingi majuziuiuzi, nawapeni pole nyote.
Hivi huwa haiwezekani kuwashitaki hawa jamaa ?Mimi niliambiwa nianze na laki tano nkadhtukia dili nkapga chini, mm mpaka ukaniingize king umefanya kaz ya ziada
Sent using Jamii Forums mobile app