Nikikumbuka hili tukio huwa naumia sana..

Its Pancho

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2018
Posts
15,966
Reaction score
26,404
Daah nikikumbukaga hili tukio huwa naumia Sana..

Ni tukio la kikatili mnoo.,lililofanya nichungulie kaburi!..

Toka siku hiyo nikaamini ule msemo "dunia hadaa walimwengu shujaa "😀😀

tukio hili ndo limefanya nipooze mwili.. 😀😀

Mpaka sasa kitanda changu ndo Choo changu, ndo sehemu yangu ya kulala, ya kula,.. 😀

Nakumbuka siku hiyo nilikuwa mjini nikawa napita kwa jamaa yangu wa sabasaba anauza Nguo,.. Laiti ningejua nisingeliendaga...

Sasa nilipofika pale manispaa, daah 😀..yaani ndo nimefika naingia tuu hivi sokoni pale. dah. Yaani kuna watu Wana roho ya kinyama sanaa 😀😀

Sasa ndo navuka tuu yaani...


NDALA YANGU IKAKATIKA...

naona mlivyotoa mimacho πŸ˜‚πŸ˜‚
 
ulaji wa ugoro uliopitiliza huwa unaathiri sana afya ya akili
 
Mungu wangu likija kukutokea kweli sijui utafanyaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…