Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Daah nikikumbukaga hili tukio huwa naumia Sana..
Ni tukio la kikatili mnoo.,lililofanya nichungulie kaburi!..
Toka siku hiyo nikaamini ule msemo "dunia hadaa walimwengu shujaa "😤😤
tukio hili ndo limefanya nipooze mwili.. 😤😤
Mpaka sasa kitanda changu ndo Choo changu, ndo sehemu yangu ya kulala, ya kula,.. 😤
Nakumbuka siku hiyo nilikuwa mjini nikawa napita kwa jamaa yangu wa sabasaba anauza Nguo,.. Laiti ningejua nisingeliendaga...
Sasa nilipofika pale manispaa, daah 😤..yaani ndo nimefika naingia tuu hivi sokoni pale. dah. Yaani kuna watu Wana roho ya kinyama sanaa 😤😤
Sasa ndo navuka tuu yaani...
NDALA YANGU IKAKATIKA...
naona mlivyotoa mimacho 😂😂